Heshima kwa wanawake popote walipo

Mkuu asante sana. umetukumbusha kitu muhimu. tena naomba uwe rollmodel wangu hapa jf.
 
asante sana yoyo umenikuna mtima wangu,tena na hii picha imegusa hisia zangu,mwanaume ngangari ni ule anayejua umuhimu wa wanawake,ubarikiwe saaana.
 
Back
Top Bottom