Heshima kwa wanawake popote walipo

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Napenda kuwapa heshima ya hali ya juu wanawake woote popote walipo duniani no matter what..hawa ni mama,dada.shangazi,bibi zetu.Halipingiki mama zetu ni wavumilivu na wametutoa mbali wanahitaji heshima ya hali ya juu toka kwetu hasa wanaume.
P1030021.JPG

Ukiona picha hii tafadhali kama mama yako yuko hai mpigie simu na kumtakia hali.
 
Asante,
Tumekusikia
Tunakubariki kwa halali utakayoyafanya mwaka huu yafanikiwe
 
Huyo si bora kalazwa sehemu nzuri wengine tumelazwa kwenye vichaka
 
Asante Yo Yo kwa kuliona hilo. Sio kwa wanaume tu ila hata sie wanawake tunatakiwa kuwashukuru mama zetu kwani hata sie wametutoa mbali! Uzuri sie wanawake huwa tunarudisha shukrani kwa mama zetu kwa kuwatunza na kuwalinda watoto wetu!
 
Mimi huwa na imagine jinsi gani wakina mama walivyo na shughuli wakiwa kwenye heka heka za kule watoto....juzi nilikwenda kwenye nyumba ya ndugu yangu mmoja ana watoto wadogo.....sasa akaniambia aniachie watoto anatoka kidogo.......trust me ...nilikaa na wale watoto nusu saa nusura niwehuke kwa kupigizana nao kelele.....mara huyu kashika hiki mara mwingine kakimbilia bafuni..mara mwingine keshajipaka kopo zima la mafuta...

...kwa kifupi ni heka heka tosha.....ni heshima kwao kwa kweli kukaa na kulea mtoto mpaka anakuwa na akili ya kujitambua....hawa watu jamani hakuna zawadi inayowafaa zaidi ya kuwaheshimu......
 
Ha ha ha! Pole ndio ujue wamama wanapata shida sana kutulea mpaka tupate akili za kibinadamu...tena bora huyo aliyejipaka kopo zima ataogeshwa atakate, mwingine angekula kabisa...lol. Kulea kazi jamani we acha tu Yo Yo. Ukisikia kulea mimba sio kazi, kazi kulea mwana ujue ndio ukweli khalisi..
 
This is very True.... Ndio maana hata biblia inasisitiza sana Heshima kwa mama.
 
napenda kuwapa heshima ya hali ya juu wanawake woote popote walipo duniani no matter what..hawa ni mama,dada.shangazi,bibi zetu.halipingiki mama zetu ni wavumilivu na wametutoa mbali wanahitaji heshima ya hali ya juu toka kwetu hasa wanaume.
p1030021.jpg

ukiona picha hii tafadhali kama mama yako yuko hai mpigie simu na kumtakia hali.
daaaaah aisee hadi chozi limenitoka
 
Napenda kuwapa heshima ya hali ya juu wanawake woote popote walipo duniani no matter what..hawa ni mama,dada.shangazi,bibi zetu.Halipingiki mama zetu ni wavumilivu na wametutoa mbali wanahitaji heshima ya hali ya juu toka kwetu hasa wanaume.
P1030021.JPG

Ukiona picha hii tafadhali kama mama yako yuko hai mpigie simu na kumtakia hali.

This is very True.... Ndio maana hata biblia inasisitiza sana Heshima kwa mama.
 
Naipinga hoja mkono.
Pamoja na kuungwa tiki na wachangiaji kibao Hoja imekua ni ya kama ya kutoona sie wanaume ni mafisadi wa jinsia mwenza!
Nani atanikanusha kwamba hata akina Baba wamezitoa mbali familia zao.
Ni akina mama wangapi wanatupa vichanga vyooni na dampo'z ?
Lini ulimsikia Baba ama akiwa pekee au kashirikiana na mkewe kutupa mtoto ?
Si ni juzi tu Vingunguti mwanamke kamtumbukiza kisu mwanaume na kumuua.
Sifia both sides bwanaa! Kama ukatili baadhi wanawake/wanaume wanao.
Na walio na maadili kila gendar wapo.
Acheni kujilimbikizia kupeana shavu kinyinyi tu! Na sie twastahili shavu pia.
 
naipinga hoja mkono.
Pamoja na kuungwa tiki na wachangiaji kibao hoja imekua ni ya kama ya kutoona sie wanaume ni mafisadi wa jinsia mwenza!
Nani atanikanusha kwamba hata akina baba wamezitoa mbali familia zao.
Ni akina mama wangapi wanatupa vichanga vyooni na dampo'z ?
Lini ulimsikia baba ama akiwa pekee au kashirikiana na mkewe kutupa mtoto ?
Si ni juzi tu vingunguti mwanamke kamtumbukiza kisu mwanaume na kumuua.
Sifia both sides bwanaa! Kama ukatili baadhi wanawake/wanaume wanao.
Na walio na maadili kila gendar wapo.
Acheni kujilimbikizia kupeana shavu kinyinyi tu! Na sie twastahili shavu pia.
hamna aliewapinga wababa mbona ? Tunawaheshimu nao ila ya kaisari mpe kaisari bwana
 
Smile ! Mtake msitake mtatuheshimu! Kama sie tunavyohewaheshimu ninyi ! Kukizungusha kiu*o tumezungusha wote vipi tusiheshimiane? Sema ka'element kaubaguzi mnako!
 
Naipinga hoja mkono.
Pamoja na kuungwa tiki na wachangiaji kibao Hoja imekua ni ya kama ya kutoona sie wanaume ni mafisadi wa jinsia mwenza!
Nani atanikanusha kwamba hata akina Baba wamezitoa mbali familia zao.
Ni akina mama wangapi wanatupa vichanga vyooni na dampo'z ?
Lini ulimsikia Baba ama akiwa pekee au kashirikiana na mkewe kutupa mtoto ?
Si ni juzi tu Vingunguti mwanamke kamtumbukiza kisu mwanaume na kumuua.
Sifia both sides bwanaa! Kama ukatili baadhi wanawake/wanaume wanao.
Na walio na maadili kila gendar wapo.
Acheni kujilimbikizia kupeana shavu kinyinyi tu! Na sie twastahili shavu pia.
Wanaokataa mimba na kutelekeza watoto ni wanawake ehhh? Wanashurutisha wake/wapenzi wao wakatoe mimba ni wanawake ehh?

Thread iko kumpa mama heshima, ilitakiwa ufungue yakwako inayohusu wababa na sio kulalamika pasipohusika.Kwani umekuta wakilinganishwa hapa?
 
Back
Top Bottom