Heshima kwa Wanaija

Heshima kwa Wanaija

Mimi niliwakubali wanaija siku ile mwenzao amepandishwa kwenye ndege kutokea uk kwenye Nigeria huku amefungwa kamba mikononi na miguuni,jamaa walikomaa hakuna kupaisha ndege kama huyo jamaa hajafunguliwa au ashushwe,polish walijitahidi kuwaelewesha jamaa kuwa huyu ni mhalifu sugu dug hawakuelewa mazee!
 
Sijui kama unaelewa kinchoongelewa hapa, tafuta mahala popote useme ni wakina nani wanajiita wa "NAIJA"

Hata kama wanaojiita ni wanigeria pia wanakosea, na ni ushamba wa hali ya juu. Mwarabu au mzungu hawezi jiita upuuzi kama huu tunaoufanya waafrika. Algeria, Nigeria na Niger ni nchi 3 tofauti.But mwarabu anaakili hakuamua kujiita Niger.
 
Nenda tena google ulete mrejesho wa "Naija" linawakilisha watu gani. Nitasubiri

Nigeria (/naɪˈdʒɪəriə/ (listen)), officially the Federal Republic of Nigeria, is a country in West Africa, bordering Niger in the north, Chad in the northeast, Cameroon in the east, and Benin in the west. Its coast in the south is located on the Gulf of Guinea in the Atlantic Ocean. The federation comprises 36 states and 1 Federal Capital Territory, where the capital, Abuja, is located. The constitution defines Nigeria as a democratic secular state.[6]

Naija na niger ni vitu viwili tofauti.

Hata kama wanaojiita ni wanigeria pia wanakosea, na ni ushamba wa hali ya juu. Mwarabu au mzungu hawezi jiita upuuzi kama huu tunaoufanya waafrika. Algeria, Nigeria na Niger ni nchi 3 tofauti.But mwarabu anaakili hakuamua kujiita Niger.
 
Tukiweka ushabiki mandazi pembeni faiza kawzidi mbali sana kwa maarifa. Sikatai kila binadamu ana mapungufu yake. Lkn kiukweli huyu mnaemuita bibi FaizaFoxy kawazidi mbali. Sema tu ishazoeleka akimsahihisha mdau humu mnatokwa povu ni hayo tu chief wangu
Unaweza ukawa uko sahihi, hoja yng unamkosoa vipi mtu? Unaweza kukosoa kwa namna ambayo unajiaibisha na hiyo inapelekea kujivunjia heshima
 
Kijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".

Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti barani Afrika.

Hizi shule mzigo za kulazimishwa "mtoto amka uende shule" ni majanga.

Ulisomea ujinga eenh?

Wewe ndo mjinga jamaa yupo sahihi
 
Wanaijeria wanajiita wanaija kutokujua kwako kusionekana ni kutokujua kwa wengine pia

Okay, wanavyojiita hivyo kwako unaona ni sahihi?? Lina faida yoyote kwa jamii? Au ulimbukeni tu!!! Maana akili za mwafrika anazijuwa mwenyewe.wakishavuta bangi zao na akili zinawaruka.
 
Mkuu,
Niger=Naija na itabakia kuwa nchi
Nigeria=Naijeria na itabakia kuwa nchi.

Waswahili 2nakwama wapi lakini? Hata Niger na Nigeria tu tunashindwa kuzitofautisha!!!

Ebu bwana musimfanye trump aendelee kuwaita Shit hole ni aibu sana jamani

Wewe hujielewi
 
Hata kama wanaojiita ni wanigeria pia wanakosea, na ni ushamba wa hali ya juu. Mwarabu au mzungu hawezi jiita upuuzi kama huu tunaoufanya waafrika. Algeria, Nigeria na Niger ni nchi 3 tofauti.But mwarabu anaakili hakuamua kujiita Niger.

We jamaa hujielewi
 
Wanaijeria ni watu hatari sana katika nchi fulani. Maana bihashara nyingi wazifanyazo zinakuwa na mambo mengi wizi wa kutumia bunduki na bihashaara ya madawa ya kulevya
Tuwatendee haki, walio wengi ni watu wema. Wachache wao wanaofanya huo uovu, kisiwe kielelezo cha kuwa wote ni waovu. Let us change our mindsets towards Nigerians. Ule msemo wa wahenga wetu, kuwa "SAMAKI MMOJA AKIOZA WOTE WAMEOZA" zama zake zimepitwa na wakati. Kwa nyakati zetu, mtenge alioza, walio wazuri endelea nao.

Umoja wa Nigerians wakiwa ughaibuni ni wakupigiwa mfano. Nadhani umeona mfano huo hapa mwanzoni wa kilichotokea Uchina baada ya Mtz mwenzaetu kuuawa, solidarity waliyoionesha ilitakiwa tuione katika Television zetu huku Tanzania. Kama kielelezo cha nguvu ya umoja wa Kiafrika kutetea maslahi ya Kiafrika ughaibuni.

Kinachoendelea South Africa ni ushenzi ambao hauvumiliki. Kibaya zaidi Mkuu wa Nchi hiyo ni champion wa huo uovu.
 
Wanaijeria ni watu hatari sana katika nchi fulani. Maana bihashara nyingi wazifanyazo zinakuwa na mambo mengi wizi wa kutumia bunduki na bihashaara ya madawa ya kulevya

Wizi wa wanigeria sio wakutumia silaha mkuu wizi wao ni mitandaoni tu wanigeria wengi ni wataalam wa IT
 
Wewe ndo mjinga jamaa yupo sahihi
Hayupo sahihi.

Kwanza angekuwa sahihi asingetumia Wanaija na Wanaijeria katika post hiyohiyo moja. Ni upunguani tu.

Pili ni kama vile mtu mweupe akimuita mtu mweusi Nigger ni tusi lakini mtu mweusi akimuita mtu mweusi mwenzake ni sawa.

Nafahamu viwango vyenu vya elimu ni shida sana.
 
Wewe kubali tu ulikuwa hujui kuwa aka ya nigeria kuwa ni naija
 
Back
Top Bottom