Heshima kwa Wanaija

Heshima kwa Wanaija

Please, huo ubishi wa Nigeria na Niger hauna faida kwa Taifa letu. tunaachane na huo ubishi FaizaFoxy, Dada yangu, Habari za siku nyingi, Tujadili na kuhamasishana kujenga uwezo wa kujiamini kwa watoto wetu. Nimehamasika sana na kile kilichofanywa na Nigerians kule China baada ya Mtz mwenzetu, kuuawa. Kwanini tukkio lile halitukutangazwa na vyombomvyetu vya habari. Au ndiyo yale yale ya hatukumtuma aende Uchina?
 
hayo mabishano yanatusaidia nini Watanzania, acheni
Kwani kinachobishaniwa humu kinakusaidia nini?

Hii ni barza tu, huyu kaleta hili yule kaleta lile muda unakwenda. Mwenye shughuli zake atabaki hapa? Mawee.

Just killing time.
 
Mkuu,
Niger=Naija na itabakia kuwa nchi
Nigeria=Naijeria na itabakia kuwa nchi.


Waswahili 2nakwama wapi lakini? Hata Niger na Nigeria tu tunashindwa kuzitofautisha!!!

Ebu bwana musimfanye trump aendelee kuwaita Shit hole ni aibu sana jamani
Ni kweli Trump yupo sahihi kutuita shithole kwa ajili ya ujinga wa wachache kama wewe... mtoa mada kaandika Naija kwa maana ya Nigeria nyie kwa ujuaji wenu mmeleta habari za Niger mmezitoa wapi?
 
"Wanaija" ni Slang inayotumika kitaa kumaanisha Wanaijeria
Labda kwa sababu ya utu uzima wako uko out of touch na lugha hizi

Kaulize mtu yeyote wa kisasa, akueleze watu wanaposema NAIJA wanarefer nchi gani?
OK "mtu wa kisasa" Kumbe Wa-Nigeria (raia wa NIGERIA) mnawaita WANAIJA. Je, Wa-Niger (raia wa NIGER au NAIJA kwa matamshi ya kiswahili) mnawaitaje ninyi watu wa kisasa? Unajua kwamba Nigeria na Niger ni nchi mbili tofauti?
Tafadhali naomba ufafanuzi; maana na mimi ni mtu wa kizamani.
 
Duh! Mabishano mengine hayana maana,,,Ebu pitia hapa kidogo

Nigeria (/naɪˈdʒɪəriə/ (listen)), officially the Federal Republic of Nigeria, is a country in West Africa, bordering Niger in the north, Chad in the northeast, Cameroon in the east, and Benin in the west. Its coast in the south is located on the Gulf of Guinea in the Atlantic Ocean. The federation comprises 36 states and 1 Federal Capital Territory, where the capital, Abuja, is located. The constitution defines Nigeria as a democratic secular state.[6]




Sio ukickiacho na wewe ukifuate other wise utaonrkana mjinga.
Kweli ugumu wa kuelewa na wepesi wa kusahau unakuponza mTanzania mwenzangu mi naongelea Naija we unaniletea habari za Niger.
 
Mnakosea. "Old school slang" unayoijuwa ni "mapopo".

Na huo utetezi wako ndio unaodhihirisha viwango vya shule.

Utaitajaje nchi nyengine kumaanisha raia wa nchi nyengine? Fikiri.

Si kila ulisikialo mitaani lina maana, mwengine ni ujinga tu.

Kama hiyo haitoshi. Hapa upo JF haupo mitaani. Jiweke kwenye "standard" ya kuwa maandiko yako yanasomwa na watu wa aina mbali mbali na usifikiri kuwa na lugha ya mtaani ni ujanja sana.

Huwezi kuongea Kiswahili India wakakufahamu ingawa unaweza kubahatisha mmoja anaekijuwa cha kuombea maji.

Umenikumbusha mwaka 1974 nilikuwa Uingereza na tukapanda bus (Waswahili watatu). Ndani ya bus, jirani na tulipokuwa kulikuwa na bibi mmoja wa Kiingereza na kijibwa chake. Mmoja wetu akasema "tazama huyu bibi kafanana na mbwa wake", yalikuwa si maneno mazuri lakini ndiyo yashamtoka mwenzetu.

Bus lilipofika anaposhuka yule bibi, wakati anashuka akasema "ahsanteni sana, nawatakia safari njema". Kumbe akitusikia yote.
Chai hii mkuu
 
OK "mtu wa kisasa" Kumbe Wa-Nigeria (raia wa NIGERIA) mnawaita WANAIJA. Je, Wa-Niger (raia wa NIGER au NAIJA kwa matamshi ya kiswahili) mnawaitaje ninyi watu wa kisasa? Unajua kwamba Nigeria na Niger ni nchi mbili tofauti?
Tafadhali naomba ufafanuzi; maana na mimi ni mtu wa kizamani.

We nawe kaa kimya
 
Confidence gani waliyonayo wakati wanashindwa kutetea mafuta yao yasiibiwe na mabeberu?
Confidence ?. Unakijua kikundi kinachoitwa Émancipation of Niger Delta (END), katika Delta Province eneo lenye mafuta Nigeria, alikotoka Raisi wa Nigeria wa Zamani Goodluck Jonathan. Wanalipwa percentage fulani na mabeberu kwa ajiri ya kujikimu kwa wananchi na usafi wa mazingira around southern Nigeria ili kuzibiti oil spill. Bila Jonathan mambo yalikua magumu. Jonathan kuwa Rais ilo kundi likaingia mkatabe nae ili litulize vita, kwa kuwa Jonas anatoka eneo lao. Wana umoja hatari, unakumbuka waziri alietimuliwa kwenye part Ugerumani alipoenda kutibiwa ?. Mimi nawakubari sana Wanigeria, ni watafutaji wenye umoja, sio wabongo ukiwa nao iwe nyumbani hapa au Ughaibuni wanakuuza kwa wataka fursa.
 
Wana umoja hatari, unakumbuka waziri alietimuliwa kwenye part Ugerumani alipoenda kutibiwa ?. Mimi nawakubari sana Wanigeria, ni watafutaji wenye umoja, sio wabongo ukiwa nao iwe nyumbani hapa au Ughaibuni wanakuuza kwa wataka fursa.
Ubabe wa kumkomalia waziri sio sawa na ubabe wa kuwakomalia mabeberu wasiibe rasilimali zenu.
 
Back
Top Bottom