mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Afu ajuza kajiona mjanjaaa wkt hio story nimeisikia miaka na miaka ila yeye kajifanya ni story yake.Chai hii mkuu
Mbibi anazeeka vibaya huyu.
Afu ajuza kajiona mjanjaaa wkt hio story nimeisikia miaka na miaka ila yeye kajifanya ni story yake.Chai hii mkuu
Sawa mkuu nikweli ni vitu viwili tofauti lkn katika kuyatamka sasa 😂😂
Kumbuka tu, ni kama weusi wa USA ilivyo sawa kuwaita weusi wenzao Nigger (Niga) lakini ni mwiko (taboo) kuitwa hivyo na mweupe.Wewe na FaizaFoxy inabidi mpitie tena maana ya Homophones - each of two or more words having the same pronunciation but different meanings, origins, or spelling. Eg
Right vs Write
Bare vs Bear
Fair vs Fare
Dew vs Due
In this case, Niger vs Naija
Aidha, kuna Homonyms words that have the same spelling and usually sound alike, but have different meanings. Eg
Left- to leave
Left- related to the side of the human body
Crane- a bird
Crane- a machine used at construction sites
Hivyo, Naija na Niger ni vitu viwili tofauti na Nigerians wapo sawa kujiita "Wanaija."