Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,079
Aka... Usimlete huku. hatumtaki.
Ubarozini~ Ubalozini
Utakuwa umetokea kanda ya ziwa wewe.
Ubarozini~ Ubalozini
Utakuwa umetokea kanda ya ziwa wewe.
Hahah hatar sanKijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".
Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti barani Afrika.
Hizi shule mzigo za kulazimishwa "mtoto amka uende shule" ni majanga.
Ulisomea ujinga eenh?
Duh!Hakuna cha ligi hapa ushapuyanga sema unaona aibu vijana wamekutoa nishai.... Kajipangge upya.
Nipe nafasi ya kupopoa tunda lakoMti usio na matunda haupopolewi.
Usijali.
Naija ni kifupisho cha Nigeria sasa hiyo Niger imetoka wapi?Kijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".
Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti barani Afrika.
Hizi shule mzigo za kulazimishwa "mtoto amka uende shule" ni majanga.
Ulisomea ujinga eenh?
Viongozi wengi wa kiafrika ni wanafiki sana,hawaambiani ukweliKama kuna taifa linajiamini Africa ni Wanaijeria
Hawa watu kwanza wana umoja na solidarity ya kufa mtu
Siku zote katika nchi yeyeote, ukionea Mnigeria basi fahamu kwamba hawatokaa kimya, lazima watakutia kashkash mpaka siku nyingine itabidi ujifikirie mara mbili kumess nao
Kuna Mwaka mmoja kule Gwangzhou China Polisi wa Kichina aliua MTANZANIA, ni wale Watanzania ambao wamejilipua huko china, wanafanya kazi ya kuuza Kilo kwenye ndege, kutembeza wafanyabiashara wa kibongo madukani n.k
Wakati Watanzania walioko huko wakiogopa nakukimbia huku wakjificha kama digidigi, Wanaijeria wakanunua Msala in the name ya African Solidarity. Wanaume Wakaamua Kufunga barabara iliyobusy sana huko Gwangzhou. Polisi wakaja kujaribu kuwatimua wanaume wakakomaa, hakuna gari kwenda wala kurudi nyuma.
Hali hiyo ilisababisha adha kubwa sana kiasi kwamba wachina wakajifunza kuwa hakuna kumess up na Waanijeria kirahisirahisi
Wanaija Walifunga barabara wakasema mpaka waje viongozi wa Mji wa Gwanzhou waeleze kwa nini Mwafrika huyo kauawa na kwamba Serikali ya Mji huo haitoruhusu polisi kujichukulia sheria mkononi!
Hao ndo Wanaija
Cheki pia kilichotokea south Africa, Kitendo cha kuumiza Mnijeria tu na biashara zake, Wananchi wa Nijeria wamelianzisha huko Naija, Hii unaweza kusema siyo jambo muafaka kulipiza uovu kwa uovu, Lakini wakati mwingine inatuma meseji kwa Vongozi wa Africa ya kusini kuact.
Kinachoonekana ni kwamba viongozi wa Africa ya kusini hawana utashi wa kutumia nguvu za kutosha kukomesha hii hali ya wahuni wa Africa kusini kuvamia biashara za watu na kuzitia moto.
Ule ni uwendawazimu hata NYANI hana akili ndogo kama zile
Wanaija mimi nawkubali sana, TAIFA la watu CONFIDENT ambao wako proud.
Ata simu yangu imeniambia naija.ila siamini ni beberu wakike kaniambia.Huwa sikisii. Kumbuka hilo.
Sasa sikiliza inatamkwa vipi. Bofya link halafu Bofya alama ya "speaker" usikie Niger inatamkwa vipi.
https://www.thefreedictionary.com/Niger

.mi mwenyew nmepata somo.Faiza foxy
Sikushangai kwani nafahamu ni kiwango tu cha shule uliyosoma.Naija ni kifupisho cha Nigeria sasa hiyo Niger imetoka wapi?
Sikushangai.Ata simu yangu imeniambia naija.ila siamini ni beberu wakike kaniambia..mi mwenyew nmepata somo.Faiza foxy
![]()
Yule General ni gaidi balaa wamemkuta tu sa hivi uzee unasumbua,akiwa rais kwny 1980's alishawahi kushirikiana na waisrael Kumsafirisha waziri wake wa fedha aliyekimbilia UK kwa kumuingiza ndani ya bag na kumsafirisha kama mzigo/furushi bahati mbaya tu waliwahiwa pale Airport.Jamaa ni manunda sana ila ajabu wanaongozwa na rais mdhaifu kwelikweli mpaka kuna kipindi trump alimuita lifeless
Ajuza menopause inamsumbua hizo slang hawezi elewa chochote.Dunia haijanyooka kama unavyotaka wewe iwe!
Labda nikuwekee tu Urban Dictionary uone watu wakizungumzia "Naija" wanamaanisha nini
Uko out of touch, husikilizi miziki, wala kuangalia sinema kutoka Naijeria au kutembelea mitandao ya wanaijeria na kusikiliza celebrities wao. Hilo neno "Naija" ni common sana kwa wanaijeria kujitambulisha nalo!
View attachment 1199720Urban Dictionary: naija
Naija is another name for Nigeria, the patroitic name for Nigerians to show thier strength and smartness. Naija can be a noun, and an adjective as well. As a noun, it is a name of a place, and as an adjective, it qualifies a noun.www.urbandictionary.com
Kwani kinachoongelewa ni nchi ya Niger au Naija? Upo Sawa lakini maana naona mind yako ishachanganya mafile relax kwanza maybe utajua kinachokusumbua.Sikushangai kwani nafahamu ni kiwango tu cha shule uliyosoma.
Leo umebahatika kwa kufaidika na darsa la FF.
Elewa kuwa kuna nchi inaitwa Niger. Bofya link uisome👇🏾👇🏾
![]()
Niger = NaijaKwani kinachoongelewa ni nchi ya Niger au Naija? Upo Sawa lakini maana naona mind yako ishachanganya mafile relax kwanza maybe utajua kinachokusumbua.
Unapokuwa mbishi afu unatumia hisia zaidi kuliko uelewa lazima uanze kutoa kauli za kashfa na chuki. Be humble twende taratibu mwisho wa picha utaelewa nachosemaNiger = Naija
Nigeria = Naijeria
Upo hapo ulipo?
Ubishi wenu ndiyo maana mnaishia kuwa mapoyoyo.
Umemshika bibi pabaya teh tehDunia haijanyooka kama unavyotaka wewe iwe!
Labda nikuwekee tu Urban Dictionary uone watu wakizungumzia "Naija" wanamaanisha nini
Uko out of touch, husikilizi miziki, wala kuangalia sinema kutoka Naijeria au kutembelea mitandao ya wanaijeria na kusikiliza celebrities wao. Hilo neno "Naija" ni common sana kwa wanaijeria kujitambulisha nalo!
View attachment 1199720Urban Dictionary: naija
Naija is another name for Nigeria, the patroitic name for Nigerians to show thier strength and smartness. Naija can be a noun, and an adjective as well. As a noun, it is a name of a place, and as an adjective, it qualifies a noun.www.urbandictionary.com
Upo wrong nduguSipo hapa kubishana kuhusu "slang" za "urban languages".
Nisome post ya juu hapo labda utanielewa ingawa sitegemei sana kuwa una kiwango hicho cha uelewa.
Tatzo hukubaligi kushindwaHilo si tatizo nadhani hapa siyo "audience" ya Wanaijeria. Au hilo nalo gumu kwako kulifahamu?
Si kila ujinga wa kuiga. Nyie ndiyo wale mnaovaa suruali chini ya makalio mkaiga mkiona ni fashion kumbe wenzenu walikuwa wanatangaza chupi za mashoga.
"Wanaija" ni Slang inayotumika kitaa kumaanisha Wanaijeria
Labda kwa sababu ya utu uzima wako uko out of touch na lugha hizi
Kaulize mtu yeyote wa kisasa, akueleze watu wanaposema NAIJA wanarefer nchi gani?

umempatia haswaDunia haijanyooka kama unavyotaka wewe iwe!