Heshima kwa Wanaija

Heshima kwa Wanaija

Mnakosea. "Old school slang" tynayoijuwa ni "mapopo".

Na huo utetezi wako ndio unaodhihirisha viwango vya shule.

Utaitajaje nchi nyengine kumaanisha raia wa nchi nyengine? Fikiri.

Si kila ulisikialo mitaani lina maana, mwengine ni ujinga tu.

Dunia haijanyooka kama unavyotaka wewe iwe!

Labda nikuwekee tu Urban Dictionary uone watu wakizungumzia "Naija" wanamaanisha nini

Uko out of touch, husikilizi miziki, wala kuangalia sinema kutoka Naijeria au kutembelea mitandao ya wanaijeria na kusikiliza celebrities wao. Hilo neno "Naija" ni common sana kwa wanaijeria kujitambulisha nalo!

1567759188766.png
 
Haka Kabibi sjui kakoje, hv ungtumia Hekima tu kumuelewesha mjukuu wako ungpukiwa nn?

Shame on you
Kijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".

Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti barani Afrika.

Hizi shule mzigo za kulazimishwa "mtoto amka uende shule" ni majanga.

Ulisomea ujinga eenh?
 
Dunia haijanyooka kama unavyotaka wewe iwe!

Labda nikuwekee tu Urban Dictionary uone watu wakizungumzia "Naija" wanamaanisha nini

View attachment 1199720
Sipo hapa kubishana kuhusu "slang" za "urban languages".

Nisome post ya juu hapo labda utanielewa ingawa sitegemei sana kuwa una kiwango hicho cha uelewa.
 
Wanigeria wenyewe wanajiita "wanaija" hata siku moja mniger hajiiti mnaija. Hapa umepuyanga Bi foxy
Kijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".

Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti barani Afrika.

Hizi shule mzigo za kulazimishwa "mtoto amka uende shule" ni majanga.

Ulisomea ujinga eenh?
 
& na mm najua kabisaa mtu akisema naskia mzik wa naija sina shaka kabisaa najua anaskiliza mziki wa Naijeria Astuchanganye na uzee wake apelek huko uzee wake
Dunia haijanyooka kama unavyotaka wewe iwe!

Labda nikuwekee tu Urban Dictionary uone watu wakizungumzia "Naija" wanamaanisha nini

Uko out of touch, husikilizi miziki, wala kuangalia sinema kutoka Naijeria au kutembelea mitandao ya wanaijeria na kusikiliza celebrities wao. Hilo neno "Naija" ni common sana kwa wanaijeria kujitambulisha nalo!

View attachment 1199720
 
Wanigeria wenyewe wanajiita "wanaija" hata siku moja mniger hajiiti mnaija. Hapa umepuyanga Bi foxy
Hilo si tatizo nadhani hapa siyo "audience" ya Wanaijeria. Au hilo nalo gumu kwako kulifahamu?

Si kila ujinga wa kuiga. Nyie ndiyo wale mnaovaa suruali chini ya makalio mkaiga mkiona ni fashion kumbe wenzenu walikuwa wanatangaza chupi za mashoga.
 
& na mm najua kabisaa mtu akisema naskia mzik wa naija sina shaka kabisaa najua anaskiliza mziki wa Naijeria Astuchanganye na uzee wake apelek huko uzee wake
Wewe si ndiyo wale mnaovaa suruali chini ya makalio? Bisha.
 
Hilo si tatizo nadhani hapa siyo "audience" ya Wanaijeria. Au hilo nalo gumu kwako kulifahamu?

Si kila ujinga wa kuiga. Nyie ndiyo wale mnaovaa suruali chini ya makalio mkaiga mkiona ni fashion kumbe wenzenu walikuwa wanatangaza chupi za mashoga.

Hahaha umechomoa betri bibi na moto umekushika, naona unavunga baada ya kuchemsha
Kabla hujavamia mada, kwanza uwe na uwelewa wa kutosha wa mada iliyo barazani!
 
Mnakosea. "Old school slang" tynayoijuwa ni "mapopo".

Na huo utetezi wako ndio unaodhihirisha viwango vya shule.

Utaitajaje nchi nyengine kumaanisha raia wa nchi nyengine? Fikiri.

Si kila ulisikialo mitaani lina maana, mwengine ni ujinga tu.

Kama hiyo haitoshi. Hapa upo JF haupo mitaani. Jiwekw kwenye "standard" ya kuwa maandiko yako yanasomwa na watu wa aina mbali mbali na usifikiri kuwa na ligha ya mtaani ni ujanja sana.

Huwezi kuongea Kiswahili India wakakufahamu ingawa unaweza kubahatisha mmoja anaekijuwa cha kuombea maji.

Umenikumbusha mwaka 1974 nilikuwa Uingereza na tukapanda bus (Waswahili watatu). Ndani ya bus, jirani na tulipokuwa kulikuwa na bibi mmoja wa Kiingereza na kijibwa chake. Mmoja wetu akasema "tazama huyi bibi kafanana na mbwa wake", yalikuwa si maneno mazuri lakini ndiyo yashamtoka mwenzetu.

Bus lilupofika anaposhuka yule bibi, wakati anashuka akasema "ahsanteni sana, nawatakia safari njema". Kumbe akitusikia yote.
Inawezekana labda huyo bibi alikuwa anajua maneno hayo tu
 
Kama hapa kwetu tunaonewa tumeshindwa kureact, huko nchi za wenzetu tutaweza kweli?
hapo ndo huwa nakumbuka ishu ya Akwilina, kama tulishindwa kupigania haki ipatikane kwa malaika yule aliekufa bila hatia na wauaji wake waendelea kula maisha, we are HOPELESS.
 
Huku watu wanafanya looting kwenye small businesses na foreigners kwa kisingizio cha watu kuchukua kazi zao..., huku wengine wanafanya looting kwenye supermarket ingawa ni ya kigeni ila huenda shares ni za wazawa pia na majority ya employees ni wananchi wao wenyewe.....

Go Figure....., haya mambo kuna watu wanatumia opportunity ya kufanya what they do best.. (wizi)
 
Economic injustices, once the economy is benefiting a
small number of the population, the poor might demand economic justice by witch-hunting ! There is a risk of this tendency to propagate in the region either by revenge or by blind imitation!
 
Back
Top Bottom