Hesabu zinavyoigomea Serikali ya wanyonge na viwanda

Mabadiliko sio sherehe ya harusi kwamba tutaimba na kucheka. Mabadiliko yana uchungu wake mwanzoni.

Hata kulima, kupalilia na kutunza shamba ni mbinde, kunachosha na kunakatisha tamaa. Ila wakati wa mavuno maumivu yote yanasahaulika.

Miradi mikubwa tunayoibeza siyo hewa, ipo dhahiri na inaonekana kwa macho. Ni uwezekaji mkubwa ambao manufaa yake ni very promising in the future. Sio chumvi uweke kwenye mboga itakolea hapo hapo.

Nidhamu Serikalini ipo juu. Leo hii hakuna ubabe wa kipuuzi na kutambiana mitaani kisa unaendesha STK kama zamani.

Halafu hizo political statements zinazotajwa zipo tu ili kuwajaza ari wananchi. We all need that to be able to move as a country. Sasa Serikali isiyohamasisha itasongaje?

Kwa ufupi, kuna sehemu tulikwama. Acha tubadili hali na kuchukua uelekeo mpya kama taifa. Wengine mtakuja kuelewa baadae sio lazima muelewe sasa.

Hesabu hazijagoma!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo waliamini kuna trilioni 3 zitalipwa na mafisadi mahakamani kupitia mahakama ya mafisadi na trilioni 479 zitalipwa na ACACIA hivyo maendeleo yataota kama uyoga!

Sasa wameshajua ukweli lazima watahayari. Kilichobaki ni kuchukua za mama lishe sasa!
Inamana walipiga hesabu za kibongo unapigia mshahara hesabu hata bado hujaingia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wale wafanyakazi wa Channel 10 ambao hawakujua nani mmiliki wa kituo chao mpk jiwe lilipowashangaza kuwaambia ni mali ya chama
Jiwe msenge sana hajawai hata kuuza duka. Kwa Ruge tulijua ni mwana ccm baada ya kufariki lakini hakuna mtu aliyehisi huyu jamaa ni ccm ali-mute. Aliijua biashara na siasa maana yake ni kuwapoteza wateja yeye akawa kimya kimya hajiingizi sana ccm ila kwa vile hili jamaa ni dumbass basi acha aiue channel 10 siku ya kwanza kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuamini kila unachoambiwa nao ni ugonjwa.

Kakae chini ujitafakari kwanza mkuu,utajua kuna vingi unakosea.
 
Hii serikali ya wanyonge na viwanda ilipoingia madarakani mwaka 2015 iliingia na matamko mengi ya yasiyo na kikomo, ni serikali iliyotoa matumaini makubwa sana kwa watanzania kwa matamko, kila kukicha ni matamko, matamko matamko juu ya matamko. Miaka mitano ndio hiyo inaisha hesabu zinagoma. Kwa mwaka 2015, mwaka 2020 ilionekana mbali sana, matamko juu ya 2020 yalikua mengi mno, utasikia 2020 tutakua na umeme MW 5000, nchi itakua na uchumi wa kati, SGR itakua imefika Mwanza na mambo kede aa kede, hadi sasa hesabu zinagoma.

Serikali ya wanyonge ilipoingia madarakani ilianza na biti kali ya kutangaza bajeti kubwa ambalo IMF ilitoa tahadhari kua haiko realistic, wao serikali ya wanyonge wakasema pesa ipo, hili li nchi ni litajiri, tutakua donor country. Mwisho wa siku hesabu zinakataa, bajeti Trilioni 32, makusanyo trilioni 25, mishahara, madeni na matumizi mengine trilioni 22, maendeleo trilioni 3.

Jana namsikia waziri wa fedha anasema hadi march hii 2019, bajeti ya maendeleo ya mwaka huu wa fedha ilikua trillioni 12, hadi sasa zimepatikana trillioni 2 tu, bado miezi 3 mwaka uishe. Maana yake hadi sasa utekelezaji ni 17%, maana yake ni kua miradi mikubwa yote utekelezwaji wake unaweza kushindikana au ukachukua muda mrefu sana kinyume na matarajio ya serikali ya wanyonge ambayo hutaja unrealistic bajeti kufurahisha watu wajinga na kutoa matamko yasiyo na kichwa wala miguu.

Miaka 5 ya serikali ya wanyonge inafika mwisho, hakuna kitu tangible cha maana kilichofanyika, tuliahidiwa 2020 tutakua na megawati 5000, hata 2000 hatujafika, tuliambiwa 2020 tutakua na uchumi wa kati, hadi sasa haijulikani tuko uchumi gani, tuliahidiwa viwanda baadae tukaambiwa hata cherehani ni viwanda, tuliahidiwa SGR hadi Mwanza, hata ya Moro tu haijafika 50%, serikali ya wanyonge itahamia Dodoma kuwafuata wanyonge, serikali yote bado iko Dar.

Serikali hii ya wanyonge with inexperienced leaders walidhani kila kitu kitafanyika kwa matamko, sasa hesabu zinakataa, tuliambiwa mabeberu wanatunyonya,huku kinyume nyume lobbyist wa serikali wanawapigia magoti mabeberu wapewe misaada na mikopo.

Lets wait and see.
Umeichambua vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabadiliko sio sherehe ya harusi kwamba tutaimba na kucheka. Mabadiliko yana uchungu wake mwanzoni.

Hata kulima, kupalilia na kutunza shamba ni mbinde, kunachosha na kunakatisha tamaa. Ila wakati wa mavuno maumivu yote yanasahaulika.

Miradi mikubwa tunayoibeza siyo hewa, ipo dhahiri na inaonekana kwa macho. Ni uwezekaji mkubwa ambao manufaa yake ni very promising in the future. Sio chumvi uweke kwenye mboga itakolea hapo hapo.

Nidhamu Serikalini ipo juu. Leo hii hakuna ubabe wa kipuuzi na kutambiana mitaani kisa unaendesha STK kama zamani.

Halafu hizo political statements zinazotajwa zipo tu ili kuwajaza ari wananchi. We all need that to be able to move as a country. Sasa Serikali isiyohamasisha itasongaje?

Kwa ufupi, kuna sehemu tulikwama. Acha tubadili hali na kuchukua uelekeo mpya kama taifa. Wengine mtakuja kuelewa baadae sio lazima muelewe sasa.

Hesabu hazijagoma!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa. Lakini kiongozi alituhakikishia mchana kweupe kabisa mabeberi wa Acacia ambao aliwaita "wanaume" wamekubali kutulipa. Tumesubiria Noah zetu mpk tumechoka. Baadae tukaambiwa sasa wanaume wanatoa kishika uchumba.... mpk leo hatujachumbiwa tumebakia kuwa michepuko ya wanaume wale mabeberu...

Au hili nalo tuendelee kulipa muda wa mabadiliko?
 
Hii serikali ya wanyonge na viwanda ilipoingia madarakani mwaka 2015 iliingia na matamko mengi ya yasiyo na kikomo, ni serikali iliyotoa matumaini makubwa sana kwa watanzania kwa matamko, kila kukicha ni matamko, matamko matamko juu ya matamko. Miaka mitano ndio hiyo inaisha hesabu zinagoma. Kwa mwaka 2015, mwaka 2020 ilionekana mbali sana, matamko juu ya 2020 yalikua mengi mno, utasikia 2020 tutakua na umeme MW 5000, nchi itakua na uchumi wa kati, SGR itakua imefika Mwanza na mambo kede aa kede, hadi sasa hesabu zinagoma.

Serikali ya wanyonge ilipoingia madarakani ilianza na biti kali ya kutangaza bajeti kubwa ambalo IMF ilitoa tahadhari kua haiko realistic, wao serikali ya wanyonge wakasema pesa ipo, hili li nchi ni litajiri, tutakua donor country. Mwisho wa siku hesabu zinakataa, bajeti Trilioni 32, makusanyo trilioni 25, mishahara, madeni na matumizi mengine trilioni 22, maendeleo trilioni 3.

Jana namsikia waziri wa fedha anasema hadi march hii 2019, bajeti ya maendeleo ya mwaka huu wa fedha ilikua trillioni 12, hadi sasa zimepatikana trillioni 2 tu, bado miezi 3 mwaka uishe. Maana yake hadi sasa utekelezaji ni 17%, maana yake ni kua miradi mikubwa yote utekelezwaji wake unaweza kushindikana au ukachukua muda mrefu sana kinyume na matarajio ya serikali ya wanyonge ambayo hutaja unrealistic bajeti kufurahisha watu wajinga na kutoa matamko yasiyo na kichwa wala miguu.

Miaka 5 ya serikali ya wanyonge inafika mwisho, hakuna kitu tangible cha maana kilichofanyika, tuliahidiwa 2020 tutakua na megawati 5000, hata 2000 hatujafika, tuliambiwa 2020 tutakua na uchumi wa kati, hadi sasa haijulikani tuko uchumi gani, tuliahidiwa viwanda baadae tukaambiwa hata cherehani ni viwanda, tuliahidiwa SGR hadi Mwanza, hata ya Moro tu haijafika 50%, serikali ya wanyonge itahamia Dodoma kuwafuata wanyonge, serikali yote bado iko Dar.

Serikali hii ya wanyonge with inexperienced leaders walidhani kila kitu kitafanyika kwa matamko, sasa hesabu zinakataa, tuliambiwa mabeberu wanatunyonya,huku kinyume nyume lobbyist wa serikali wanawapigia magoti mabeberu wapewe misaada na mikopo.

Lets wait and see.
huko kusini wakulima wameporwa KOROSHO zao mpaka leo hawajalipwa ni ngonjera ngonjera ngonjera? ati baada ya kununua korosho wapuuzi wale walikuja na ngonjera za kuhakiki mashamba . wasijue hawakuwa na uwezo wala ujuzi. wamemaliza kuhakiki hakuna malipo
 
Kweli kabisa. Lakini kiongozi alituhakikishia mchana kweupe kabisa mabeberi wa Acacia ambao aliwaita "wanaume" wamekubali kutulipa. Tumesubiria Noah zetu mpk tumechoka. Baadae tukaambiwa sasa wanaume wanatoa kishika uchumba.... mpk leo hatujachumbiwa tumebakia kuwa michepuko ya wanaume wale mabeberu...

Au hili nalo tuendelee kulipa muda wa mabadiliko?
Noah mliahidiwa na gazeti. Nendeni mkadai.

Pesa za Acacia zitalipwa hata kama sio zote. Aiming high was a great idea.

Mkuu Asprin kumbe wewe ni mchepuko wa Mabeberu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom