Sijui kamba gani tutapigwa 2020Subiri kwanza ahamie Dodoma kabla ya December mwaka jana
Sijui kamba gani tutapigwa 2020Subiri kwanza ahamie Dodoma kabla ya December mwaka jana
Ni Sawa na kuwaambia waumini Kuwa Jahanamu Pamenoga...
Hahahahah, walichokisababisha ni mfumuko wa wanyongeTangia wameingia madarakani wanyonge wako wangapi na wamepunguza wamebaki wangapi?
Hii serikali ya wanyonge na viwanda ilipoingia madarakani mwaka 2015 iliingia na matamko mengi ya yasiyo na kikomo, ni serikali iliyotoa matumaini makubwa sana kwa watanzania kwa matamko, kila kukicha ni matamko, matamko matamko juu ya matamko. Miaka mitano ndio hiyo inaisha hesabu zinagoma. Kwa mwaka 2015, mwaka 2020 ilionekana mbali sana, matamko juu ya 2020 yalikua mengi mno, utasikia 2020 tutakua na umeme MW 5000, nchi itakua na uchumi wa kati, SGR itakua imefika Mwanza na mambo kede aa kede, hadi sasa hesabu zinagoma.
Serikali ya wanyonge ilipoingia madarakani ilianza na biti kali ya kutangaza bajeti kubwa ambalo IMF ilitoa tahadhari kua haiko realistic, wao serikali ya wanyonge wakasema pesa ipo, hili li nchi ni litajiri, tutakua donor country. Mwisho wa siku hesabu zinakataa, bajeti Trilioni 32, makusanyo trilioni 25, mishahara, madeni na matumizi mengine trilioni 22, maendeleo trilioni 3.
Jana namsikia waziri wa fedha anasema hadi march hii 2019, bajeti ya maendeleo ya mwaka huu wa fedha ilikua trillioni 12, hadi sasa zimepatikana trillioni 2 tu, bado miezi 3 mwaka uishe. Maana yake hadi sasa utekelezaji ni 17%, maana yake ni kua miradi mikubwa yote utekelezwaji wake unaweza kushindikana au ukachukua muda mrefu sana kinyume na matarajio ya serikali ya wanyonge ambayo hutaja unrealistic bajeti kufurahisha watu wajinga na kutoa matamko yasiyo na kichwa wala miguu.
Miaka 5 ya serikali ya wanyonge inafika mwisho, hakuna kitu tangible cha maana kilichofanyika, tuliahidiwa 2020 tutakua na megawati 5000, hata 2000 hatujafika, tuliambiwa 2020 tutakua na uchumi wa kati, hadi sasa haijulikani tuko uchumi gani, tuliahidiwa viwanda baadae tukaambiwa hata cherehani ni viwanda, tuliahidiwa SGR hadi Mwanza, hata ya Moro tu haijafika 50%, serikali ya wanyonge itahamia Dodoma kuwafuata wanyonge, serikali yote bado iko Dar.
Serikali hii ya wanyonge with inexperienced leaders walidhani kila kitu kitafanyika kwa matamko, sasa hesabu zinakataa, tuliambiwa mabeberu wanatunyonya,huku kinyume nyume lobbyist wa serikali wanawapigia magoti mabeberu wapewe misaada na mikopo.
Lets wait and see.
Hatujasema miaka mitano mambo yote hayo yatakamilika, nimesema hadi nitakapondolewa na wananchi madarakani ndo hiyo miradi itakuwa imekamilika, haijulikani nitatoka lini madarakani, ivo vuta subira kijana.Hii serikali ya wanyonge na viwanda ilipoingia madarakani mwaka 2015 iliingia na matamko mengi ya yasiyo na kikomo, ni serikali iliyotoa matumaini makubwa sana kwa watanzania kwa matamko, kila kukicha ni matamko, matamko matamko juu ya matamko. Miaka mitano ndio hiyo inaisha hesabu zinagoma. Kwa mwaka 2015, mwaka 2020 ilionekana mbali sana, matamko juu ya 2020 yalikua mengi mno, utasikia 2020 tutakua na umeme MW 5000, nchi itakua na uchumi wa kati, SGR itakua imefika Mwanza na mambo kede aa kede, hadi sasa hesabu zinagoma.
Serikali ya wanyonge ilipoingia madarakani ilianza na biti kali ya kutangaza bajeti kubwa ambalo IMF ilitoa tahadhari kua haiko realistic, wao serikali ya wanyonge wakasema pesa ipo, hili li nchi ni litajiri, tutakua donor country. Mwisho wa siku hesabu zinakataa, bajeti Trilioni 32, makusanyo trilioni 25, mishahara, madeni na matumizi mengine trilioni 22, maendeleo trilioni 3.
Jana namsikia waziri wa fedha anasema hadi march hii 2019, bajeti ya maendeleo ya mwaka huu wa fedha ilikua trillioni 12, hadi sasa zimepatikana trillioni 2 tu, bado miezi 3 mwaka uishe. Maana yake hadi sasa utekelezaji ni 17%, maana yake ni kua miradi mikubwa yote utekelezwaji wake unaweza kushindikana au ukachukua muda mrefu sana kinyume na matarajio ya serikali ya wanyonge ambayo hutaja unrealistic bajeti kufurahisha watu wajinga na kutoa matamko yasiyo na kichwa wala miguu.
Miaka 5 ya serikali ya wanyonge inafika mwisho, hakuna kitu tangible cha maana kilichofanyika, tuliahidiwa 2020 tutakua na megawati 5000, hata 2000 hatujafika, tuliambiwa 2020 tutakua na uchumi wa kati, hadi sasa haijulikani tuko uchumi gani, tuliahidiwa viwanda baadae tukaambiwa hata cherehani ni viwanda, tuliahidiwa SGR hadi Mwanza, hata ya Moro tu haijafika 50%, serikali ya wanyonge itahamia Dodoma kuwafuata wanyonge, serikali yote bado iko Dar.
Serikali hii ya wanyonge with inexperienced leaders walidhani kila kitu kitafanyika kwa matamko, sasa hesabu zinakataa, tuliambiwa mabeberu wanatunyonya,huku kinyume nyume lobbyist wa serikali wanawapigia magoti mabeberu wapewe misaada na mikopo.
Lets wait and see.
Hahaa na wananchi wa mwanza walifurahia ama !?Umesahau alitupiga kamba pale mwanza itakua kama Geneva.
Vip mrejesho
Haha yapo makundi mawili kuna ambao ziko sawa lakini wanalazimika kuunga juhudi ili waweze kutunza Matumbo yao ... kundi hili ni la wafanya biashara wachache na wanasiasa wa lumumba ...Hivi wanaomuunga hizo juhudi zake ni watu ambao ziko sawa sawa ama Mimi ndio sielewi
Duhh !!!!Song title:Amigo
Artist: Les Wanyika
"[emoji443] [emoji441] Marafiki na majirani tulishakukanya sana Amigo!
Wajali wapiga kura wako,
Na wahisani uwape heshima.
Tukawa sisi wa wabaya kwako,
Tukuache kama ulivyo Amigo,
Ushauri wetu hauna maana,
Sababu wewe ni bingwa wa maisha.
Na sasa wahisani hauna Amigo,
Mipango yako imebuma Amigo,
Pambana na hali yako Amigo!
Ndililili ndililili, ndililili ndililili, ndi ndi ndi ndi ndiliiii [emoji446][emoji444][emoji445]"
Hahaha .... jamaa hana jipya anabaki baki tu anatoa macho ....Jiwe wise muongo kuliko shetani,yeye kila ni uwongo.kazindua miradi kibao ambayo jk alizindua sasa kabaki kukuna kichwa afanye kipi tumuone.
Alivyo anaweza kuzindua barabara ya mwendo kasi kimara hadi gerezani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa akili yake sijui huwa unawaza nini !? Aliweza vipi kuzidisha bajeti hivyo ghafla wakati nchi ikiwa haijaongeza vyanzo mbali mbali vikubwa vya mapato !!!?Kipindi kile cha jk walikua wanaandaa bajeti ya tilioni 22 wakati serikali inakusanya tilioni 19.5.
jiwe yeye alipoingia kakulupuka na kuandaa bajeti ya tilioni 29.5 wakati yeye anakusanya tilioni zilezile,mbaya zaidi na wale wanaotakiwa kumuwezesha kumpa zile za ziada kawatibua .
Basi ndio hivyo .