Hesabu zinavyoigomea Serikali ya wanyonge na viwanda

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,050
Reaction score
12,968
Hii serikali ya wanyonge na viwanda ilipoingia madarakani mwaka 2015 iliingia na matamko mengi ya yasiyo na kikomo, ni serikali iliyotoa matumaini makubwa sana kwa watanzania kwa matamko, kila kukicha ni matamko, matamko matamko juu ya matamko. Miaka mitano ndio hiyo inaisha hesabu zinagoma. Kwa mwaka 2015, mwaka 2020 ilionekana mbali sana, matamko juu ya 2020 yalikua mengi mno, utasikia 2020 tutakua na umeme MW 5000, nchi itakua na uchumi wa kati, SGR itakua imefika Mwanza na mambo kede aa kede, hadi sasa hesabu zinagoma.

Serikali ya wanyonge ilipoingia madarakani ilianza na biti kali ya kutangaza bajeti kubwa ambalo IMF ilitoa tahadhari kua haiko realistic, wao serikali ya wanyonge wakasema pesa ipo, hili li nchi ni litajiri, tutakua donor country. Mwisho wa siku hesabu zinakataa, bajeti Trilioni 32, makusanyo trilioni 25, mishahara, madeni na matumizi mengine trilioni 22, maendeleo trilioni 3.

Jana namsikia waziri wa fedha anasema hadi march hii 2019, bajeti ya maendeleo ya mwaka huu wa fedha ilikua trillioni 12, hadi sasa zimepatikana trillioni 2 tu, bado miezi 3 mwaka uishe. Maana yake hadi sasa utekelezaji ni 17%, maana yake ni kua miradi mikubwa yote utekelezwaji wake unaweza kushindikana au ukachukua muda mrefu sana kinyume na matarajio ya serikali ya wanyonge ambayo hutaja unrealistic bajeti kufurahisha watu wajinga na kutoa matamko yasiyo na kichwa wala miguu.

Miaka 5 ya serikali ya wanyonge inafika mwisho, hakuna kitu tangible cha maana kilichofanyika, tuliahidiwa 2020 tutakua na megawati 5000, hata 2000 hatujafika, tuliambiwa 2020 tutakua na uchumi wa kati, hadi sasa haijulikani tuko uchumi gani, tuliahidiwa viwanda baadae tukaambiwa hata cherehani ni viwanda, tuliahidiwa SGR hadi Mwanza, hata ya Moro tu haijafika 50%, serikali ya wanyonge itahamia Dodoma kuwafuata wanyonge, serikali yote bado iko Dar.

Serikali hii ya wanyonge with inexperienced leaders walidhani kila kitu kitafanyika kwa matamko, sasa hesabu zinakataa, tuliambiwa mabeberu wanatunyonya,huku kinyume nyume lobbyist wa serikali wanawapigia magoti mabeberu wapewe misaada na mikopo.

Lets wait and see.
 
Mkuu umemaliza kila kitu, hii serikali ni kilaghai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimae Sera zimekuwa za Kupika Majungu,Kuteka na Kupoteza wananchi,Kupiga risasi Wananchi,Kutngeneza Matukio baada ya kuboronga;Kukurupuka kwa hali ya juu,kutengeneza matatizo halafu kuja kuyatatua,Kutengeneza Mazingira ya Hofu.Teuzi kufanywa mtaji wa Kisiasa,Njama dhidi ya Upinzani wa Kweli na Kuubeba Upinzani wa Uongo.
 
Hii serikali ya wanyonge na viwanda ilipoingia madarakani mwaka 2015 iliingia na matamko mengi ya yasiyo na kikomo, ni serikali iliyotoa matumaini makubwa sana kwa watanzania kwa matamko, kila kukicha ni matamko, matamko matamko juu ya matamko. Miaka mitano ndio hiyo inaisha hesabu zinagoma. Kwa mwaka 2015, mwaka 2020 ilionekana mbali sana, matamko juu ya 2020 yalikua mengi mno, utasikia 2020 tutakua na umeme MW 5000, nchi itakua na uchumi wa kati, SGR itakua imefika Mwanza na mambo kede aa kede, hadi sasa hesabu zinagoma.

Serikali ya wanyonge ilipoingia madarakani ilianza na biti kali ya kutangaza bajeti kubwa ambalo IMF ilitoa tahadhari kua haiko realistic, wao serikali ya wanyonge wakasema pesa ipo, hili li nchi ni litajiri, tutakua donor country. Mwisho wa siku hesabu zinakataa, bajeti Trilioni 32, makusanyo trilioni 25, mishahara, madeni na matumizi mengine trilioni 22, maendeleo trilioni 3.

Jana namsikia waziri wa fedha anasema hadi march hii 2019, bajeti ya maendeleo ya mwaka huu wa fedha ilikua trillioni 12, hadi sasa zimepatikana trillioni 2 tu, bado miezi 3 mwaka uishe. Maana yake hadi sasa utekelezaji ni 17%, maana yake ni kua miradi mikubwa yote utekelezwaji wake unaweza kushindikana au ukachukua muda mrefu sana kinyume na matarajio ya serikali ya wanyonge ambayo hutaja unrealistic bajeti kufurahisha watu wajinga na kutoa matamko yasiyo na kichwa wala miguu.

Miaka 5 ya serikali ya wanyonge inafika mwisho, hakuna kitu tangible cha maana kilichofanyika, tuliahidiwa 2020 tutakua na megawati 5000, hata 2000 hatujafika, tuliambiwa 2020 tutakua na uchumi wa kati, hadi sasa haijulikani tuko uchumi gani, tuliahidiwa viwanda baadae tukaambiwa hata cherehani ni viwanda, tuliahidiwa SGR hadi Mwanza, hata ya Moro tu haijafika 50%, serikali ya wanyonge itahamia Dodoma kuwafuata wanyonge, serikali yote bado iko Dar.

Serikali hii ya wanyonge with inexperienced leaders walidhani kila kitu kitafanyika kwa matamko, sasa hesabu zinakataa, tuliambiwa mabeberu wanatunyonya,huku kinyume nyume lobbyist wa serikali wanawapigia magoti mabeberu wapewe misaada na mikopo.

Lets wait and see.
Mkuu umesahau na nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa Umma.Karibu muhula wa kwanza wa awamu ya tano unakamilika,hakuna badiliko
 
Mkuu sababu za msingi za mahesabu kugoma:-

KUSUSIWA

1. Utawala usiozingatia katiba na sheria
2. Kuwa nawatumishi kikanda na kikabila kwenye ngazi za maamuzi
3. Kw kulindwa ufisadi na dhulma zilizofanywa kwa mgongo wa chama dola.
4. Kwa watawala kuziba masikio kuhusu matakwa ya kidemokrasia kama yalivyoainishwa na katiba.
5. Kutokana na laana ya umwagaji damu zisizo na hatia
6. Kwa sababu ya unafiki katika utendaji kwa kuwatenga wengine kwa sheria kandamizi.
 
Song title:Amigo
Artist: Les Wanyika

"🎼 🎤 Majirani na marafiki tulishakukanya sana Amigo!
Wajali wapiga kura wako,
Na wahisani uwape heshima.

Tukawa sisi wa wabaya kwako,
Tukuache kama ulivyo Amigo,
Ushauri wetu hauna maana,
Sababu wewe ni bingwa wa maisha.

Na sasa wahisani hauna Amigo,
Mipango yako imebuma Amigo,
Pambana na hali yako Amigo!

Ndililili ndililili, ndililili ndililili, ndi ndi ndi ndi ndiliiii 🎹🎵🎶"
 
Taifa lolote duniani likishamwaga damu za wasio na hatia kupitia watu wasiojulikana upigwa mapigo saba ya laana toka kwa Mwenyezi Mungu ambae ndio mmliki wa uhai,na laana ni lzm ilipe kisasi, dalili za laana ni kukwama kwa mambo.
 
Back
Top Bottom