Hesabu za Membe hazipo sawa sawa

Atakuwa rais wa mitandao. Kama kurudisha kadi ilikuwa dili kisiasa, jama nchi ingezizima kwa wanaorudisha kadi. Aangalie tofauti yake na Seif Sharif Hamad alipohama chama.
Amekosea aana mahesabu yake.
Upo sahihi kabisa.
 
Membe ni amepiga hesabu kali kuliko Lowassa. Amesimama kama mbadala wa JPM ( alternative to) Amejiseti kwenye mteremko.
Lowassa ametoa funzo. Membe alipaswa kujifunza kupitia historia ya mwaka 2015. Si wakati rafiki kwa Membe kugombea kupitia upinzani ambao hauna umoja.
 
Unahangaika sana.yote uliyoandika ni kweli. Ila tume ya uchaguzi ipo chini ya CCM. Haiwezi kuwapa urais wapinzni kirahisi rahisi tu.

Uchaguzi wa 2020 ndio mtaon vizuri rangi ya tume ya uchaguzi na dmu iaweza kumwagika kuanzia mbeya kwa sugu
 
cheap analysis! Kubadilika kuwaua wapinzani? Kuwafunga? Kuwabambikia kesi? Kuwaziba midomo?
Unaweza kuthibitisha uliyoyaandika? Unaita cheap analysis huku wewe ukiandika cheap accusations.
 
Ugoigoi wa jiwe ndio unampa kiburi Membe!! Watakaompa kura ni wale waliochoshwa na jiwe!!vijana hawana ajira!wazazi wamesomesha hewa hakuna matunda!!udhalilishaji kina mama eti matiti yao ni Barakoa!!!
 
Huyu mtu uwezo wake ni Mdogo sana tena sana. Hata akipewa ukuu Wa wilaya hauwezi. Amebebwa sana na JK.

Huyu sio MTU Wa aina ya Mzee Malecela, Salim Ahmed Salim, Au hata Marehemu Balozi Maiga, hawa ni Preaisente materials.
For God sake Membe? For what?
 
Membe ni amepiga hesabu kali kuliko Lowassa. Amesimama kama mbadala wa JPM ( alternative to) Amejiseti kwenye mteremko.
JPM hana mbadala, anapendwa na watu wengi, Wengi wanamwamini na kwa namna alivyoshughulika na Corona hili limempa credit sana tena sana, Kazi yangu inanikutanisha na watu wengi sana, kuna watu walikuwa wanampinga ambao ni Wapinzani Kinda kinda nimeshangaa sana kwa sasa huwaambii kitu.

Ukiondoa kelele za kwenye mtandao hamna mbadala.
 
Ugoigoi wa jiwe ndio unampa kiburi membe!!watakaompa kura ni wale waliochoshwa na jiwe!!vijana hawana ajira!wazazi wamesomesha hewa hakuna matunda!!udhalilishaji kina mama eti matiti yao ni Barakoa!!!
Goigoi mnamwita Jiwe? Hivi unavyoandika Jiwe maana yake Goigoi?Labda kama sijui kiswahili.
 
Vitu vingine tuwe serious unawezaje kutoka home eti nikampigie membe kura, God forbid.
 
Fact check on the ground, JPM anaenda kushinda kwa kishindo. Wakati mgumu kwake ulikua 2015.
Just wait and see. Jiulize tu nini kilikuwa kinaenda kutokea uchaguzi SM pamoja na "mema" yote ya JPM. ukipata jawabu la hapo utajua WATZ wanataka nini...
 
Wewe nenda kasafishe vyumba huko Lumumba
 
Wapinzani wanaoshinda viti vya Ubunge wanashindaje? Kwa nini hiyo mbinu ya kushinda Ubunge isitumike kushinda kiti cha Uraisi?
Hoja ya kishoga kabisa itakuwa ushagawahi kutawazwa na mama ako sio bure
 
Sasa kama jina lake halijulikani Unalalamika nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…