Hesabu za Membe hazipo sawa sawa

Hesabu za Membe hazipo sawa sawa

Kwani wewe unaishi nchi gani mpaka Leo hujaona? Yaani Membe amfikie JPM? Kwa lipi? Hata kama akili zako umeshikiwa, huwezi kufanya hesabu ndogo tu ukaona?
Membe ana nini zaidi ya posti zenu za mtandaoni?
Basi usitumie nguvu kubwa kuonesha madaraja subiria ushindi wa kishindo
 
Kwani wewe unaishi nchi gani mpaka Leo hujaona? Yaani Membe amfikie JPM? Kwa lipi? Hata kama akili zako umeshikiwa, huwezi kufanya hesabu ndogo tu ukaona?
Membe ana nini zaidi ya posti zenu za mtandaoni?
 
membe hakubaliki na Joni magu pia hakubaliki ngoma droo,time will tell ,yaani wote wawili hawakubaliki na wanadanganywa na wafuasi wao kuwa wanakubalika,tutaona vituko

Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
 
Hesabu za Membe hazipo sawa sawa. Lowassa alifanya timing muhimu mno. Mwaka pekee ambao tungeshudia Upinzani ukishika dola ulikua ni 2015. CCM ni chama kinachobadilika kulingana na mazingira. Kinajikosoa na kubadilika.

1. CCM ilikua imechukiwa na raia. Hivyo 2015 ilikua ni karata muhimu kuiondoa CCM madarakani.

2. Lowassa alikua na umaarufu na uwekezaji mkubwa kwenye safari yake kuelekea IKULU. Sioni Membe akifika hata nusu za harakati za Lowassa.

3. Membe anakwenda kupambana na CCM iliyorudisha imani kwa raia. Anakwenda kukutana na siasa za Upinzani zilizogawanyika. Sitegemei ile spirit ya UKAWA kuwa live. Mwaka 2015 kulitokea kusalitiana. Vyama vya upinzani haviaminiani kirahisi.
Huu ni ukweli mchungu......
 
Lowassa ametoa funzo. Membe alipaswa kujifunza kupitia historia ya mwaka 2015. Si wakati rafiki kwa Membe kugombea kupitia upinzani ambao hauna umoja.
Huyu anataka kuweka tu historia kuwa aliwahi kushiriki/kugombea urais wa Tanzania. Lakini siamini kuwa kutoka ndani ya moyo wake kuwa anaamini kuwa atashinda uchaguzi.
 
Nilishaandika nyuma mwaka huu hata kura akihesabu mwenyekiti wa CHADEMA upinzani hawawezi kutoboa.

CCM kwa awamu hii imesharudisha imani kwa wananchi na huu mwaka JPM atapata A ya kura zote.

2015 walipata shida saana na wameshajisahihisha. Hapa tusubiri 2025.
 
Umenena vyema.
 
Kama CCM imerudisha imani kwa raia kwanini inakataa tume huru ya uchaguzi?
Acha ujinga we Jomba. ..tume huru ndio inapiga kura..??mnachekesha sana. Badala ya ku invest kwa wapiga kura mnatolea macho tume huru. .ukadhani yenyewe ndio inaleta kura za upinzani. ..wakati mkiendelea kutolea macho tumehuru mkigeukia upande wa pili mtakuta wapigakura wote wamezolewa sasa hapo sijui mtaishia kujipigia wenyewe kura ili tume yenu huru ihesabu
 
Umenena sawa sawa. Kilio cha TUME HURU YA UCHAGUZI kiendane na uwekezaji wa chama kwa Wapiga kura.
 
Nadhani kura zitakua kama hivi
1. Maguguli 65%
2. Nyarandu 34%
3. Membe 0.5%
4...

Ni afadhali zitto agombee Urais kuliko membe.
Hesabu za Membe hazipo sawa sawa. Lowassa alifanya timing muhimu mno. Mwaka pekee ambao tungeshudia Upinzani ukishika dola ulikua ni 2015. CCM ni chama kinachobadilika kulingana na mazingira. Kinajikosoa na kubadilika.

1. CCM ilikua imechukiwa na raia. Hivyo 2015 ilikua ni karata muhimu kuiondoa CCM madarakani.

2. Lowassa alikua na umaarufu na uwekezaji mkubwa kwenye safari yake kuelekea IKULU. Sioni Membe akifika hata nusu za harakati za Lowassa.

3. Membe anakwenda kupambana na CCM iliyorudisha imani kwa raia. Anakwenda kukutana na siasa za Upinzani zilizogawanyika. Sitegemei ile spirit ya UKAWA kuwa live. Mwaka 2015 kulitokea kusalitiana. Vyama vya upinzani haviaminiani kirahisi.
 
Hesabu za Membe hazipo sawa sawa. Lowassa alifanya timing muhimu mno. Mwaka pekee ambao tungeshudia Upinzani ukishika dola ulikua ni 2015. CCM ni chama kinachobadilika kulingana na mazingira. Kinajikosoa na kubadilika.

1. CCM ilikua imechukiwa na raia. Hivyo 2015 ilikua ni karata muhimu kuiondoa CCM madarakani.

2. Lowassa alikua na umaarufu na uwekezaji mkubwa kwenye safari yake kuelekea IKULU. Sioni Membe akifika hata nusu za harakati za Lowassa.

3. Membe anakwenda kupambana na CCM iliyorudisha imani kwa raia. Anakwenda kukutana na siasa za Upinzani zilizogawanyika. Sitegemei ile spirit ya UKAWA kuwa live. Mwaka 2015 kulitokea kusalitiana. Vyama vya upinzani haviaminiani kirahisi.
Kama unafamilia inayokutegenea jalibu kuwauliza kama CCM ya sasa inakubakika,labda uwe tegemezi una kula na kulala kwa Baba na mama.
 
Nadhani kura zitakua kama hivi
1. Maguguli 65%
2. Nyarandu 34%
3. Membe 0.5%
4...

Ni afadhali zitto agombee Urais kuliko membe.

Nabashiri matokeo kuwa hivi:

1. Magufuli 90%
2. Mgombea CDM 09%
3. Vyama vingine 01%
 
Back
Top Bottom