kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Unajua anashinda Unalalamika nini? muache membe agombeeFact check on the ground, JPM anaenda kushinda kwa kishindo. Wakati mgumu kwake ulikua 2015.
Unajua anashinda Unalalamika nini? muache membe agombeeFact check on the ground, JPM anaenda kushinda kwa kishindo. Wakati mgumu kwake ulikua 2015.
Wewe mwenye uwezo mkubwa uko wapi Ajira ya kujishikiza unamuita membe akili ndogo tuliza mshono utaelewa tu mchezoHuyu mtu uwezo wake ni Mdogo sana tena sana. Hata akipewa ukuu Wa wilaya hauwezi.
Amebebwa sana na JK.
Huyu sio MTU Wa aina ya Mzee Malecela, Salim Ahmed Salim, Au hata Marehemu Balozi Maiga, hawa ni Preaisente materials.
For God sake Membe? For what?
Basi kama anakubarika subiria uoneJPM hana mbadala, anapendwa na watu wengi, Wengi wanamwamini na kwa namna alivyoshughulika na Corona hili limempa credit sana tena sana, Kazi yangu inanikutanisha na watu wengi sana, kuna watu walikuwa wanampinga ambao ni Wapinzani Kinda kinda nimeshangaa sana kwa sasa huwaambii kitu.
Ukiondoa kelele za kwenye mtandao hamna mbadala.
Dah... ndiyo maana nasisitiza...hiyo pesa ya uchaguzi wa Rais watugawie tunywee mbege tuFact check on the ground, JPM anaenda kushinda kwa kishindo. Wakati mgumu kwake ulikua 2015.

Sawa hapati acha kumaliza damu.yako na kupayuka kumponda tunajua hana nguvu subiria uchaguziNguvu ya upinzani 2015 haiwezi tokea tena 2020.BM aende chama chochote cha upinzani hawezi pata kura hata nusu ya Edlow.
Kama CCM imerudisha imani kwa raia kwanini inakataa tume huru ya uchaguzi?
Sidhani kama wanasema tu tutashinda bila kuongeza neno unless unapenda habari nusunusu.Ndo ujiulize hawa wanaosema tutashinda wanamaanisha kushinda kwa tume ipi.
Anyway. Ngoja usikilizwe pia.Ugoigoi wa jiwe ndio unampa kiburi membe!!watakaompa kura ni wale waliochoshwa na jiwe!!vijana hawana ajira!wazazi wamesomesha hewa hakuna matunda!!udhalilishaji kina mama eti matiti yao ni Barakoa!!!
Fact. Membe hana nafasi ya kuzishinda harakati za Lowassa.Membe ni mtu fulani ambae wakati mfumo uko upande wake alifunga mdomo kabisa sasa mfumo umehama ndio anaanza kubweka, Atulie tu hawezi fika hata Robo ya EL 2015
Huyu mtu uwezo wake ni Mdogo sana tena sana. Hata akipewa ukuu Wa wilaya hauwezi.
Amebebwa sana na JK.
Huyu sio MTU Wa aina ya Mzee Malecela, Salim Ahmed Salim, Au hata Marehemu Balozi Maiga, hawa ni Preaisente materials.
For God sake Membe? For what?



Sidhani kama wanasema tu tutashinda bila kuongeza neno unless unapenda habari nusunusu.



KabisaAnajitekenya alafu anacheka mwenyewe
FactHili la Membe nadhani limewachanganya zaidi wapinzani kuliko CCM. sasa hivi upinzani umejikuta una watu wawili wanaoutaka Urais kwa udi na uvumba. sijui nani atakubali kumwachia mwenzake, nauona mpasuko na siyo muungano wa upinzani. Wapo wanaomtaka Lissu, wengi wako Chadema na wengi wanaomtaka Membe wako ACT Wazalendo. Sijui ataenda wapi tusubiri...
Good tactical advice. Ingawa ukweli ni mchungu.Membe apewe tiketi na upinzani kuwania uraisi!Lisu wamnadi kama waziri mkuu ajae!!
Hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo poyoyo kama mtu unayemshabikia.Wewe mwenye uwezo mkubwa uko wapi Ajira ya kujishikiza unamuita membe akili ndogo tuliza mshono utaelewa tu mchezo
Kwani wewe unaishi nchi gani mpaka Leo hujaona? Yaani Membe amfikie JPM? Kwa lipi? Hata kama akili zako umeshikiwa, huwezi kufanya hesabu ndogo tu ukaona?Basi kama anakubarika subiria uone