Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,969
Kumbe hata hujui kuwa matokeo ya urais hayawez pingwa mahakaman?pole sana
Wapinzani wanaoshinda viti vya Ubunge wanashindaje? Kwa nini hiyo mbinu ya kushinda Ubunge isitumike kushinda kiti cha Uraisi?