kali KENYATTA
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 288
- 166
Pamoja sanaNaungana na wewe Membe hakubaliki kiasi anachodhani
Pamoja sanaHatoshi
Wapinzani wanaoshinda viti vya Ubunge wanashindaje? Kwa nini hiyo mbinu ya kushinda Ubunge isitumike kushinda kiti cha Uraisi?Kama CCM imerudisha imani kwa raia kwanini inakataa tume huru ya uchaguzi?
Alishindwa kujenga hoja ya watanzania kuwa na dual citizenship, hata kwa masharti fulani bali kuruhusu watanzania walioko nje watumie mianya yote huko bila kupoteza haki zao nyumbani.Hesabu za Membe hazipo sawa sawa. Lowassa alifanya timing muhimu mno. Mwaka pekee ambao tungeshudia upinzani ukishika dola ulikua ni 2015. CCM ni chama kinachobadilika kulingana na mazingira. Kinajikosoa na kubadilika.
1. CCM ilikua imechukiwa na raia. Hivyo 2015 ilikua ni karata muhimu kuiondoa CCM madarakani...
[emoji3][emoji3][emoji3]Alishindwa kujenga hoja ya watanzania kuwa na dual citizenship, hata kwa masharti fulani bali kuruhusu watanzania walioko nje watumie mianya yote huko bila kupoteza haki zao nyumbani.
Yule mnayemwita kachero sijui mbobezi nadhani hata hatumii akili.Sijui hata huo ukachero wake unamsaidia nini Membe kwa sababu anatajwa tu katika mikoa ya Dar,Pwani ,Lindi ,Mtwara labda na Ruvuma.Nikuhakikishie kwamba mikoa iliyobaki hata hilo jina hawajawahi kulisikia.Naungana na wewe MEMBE HAKUBARIKI KIASI ANACHODHANI
[emoji3][emoji3][emoji3]Shida yake "Role model" anadanganyika na zile tweets na comments za kule Twitter.
Umenena vyema. Lowassa ametoa fundisho. Tena kwa gharama kubwa. Halafu Membe anataka kufanya mambo kirahisi rahisi kiasi hiki? Halafu wakati huu?Yule mnayemwita kachero sijui mbobezi nadhani hata hatumii akili.Sijui hata huo ukachero wake unamsaidia nini Membe kwa sababu anatajwa tu katika mikoa ya Dar,Pwani ,Lindi ,Mtwara labda na Ruvuma.Nikuhakikishie kwamba mikoa iliyobaki hata hilo jina hawajawahi kulisikia.Nenda Kilimanajro,Simiyu ,Shinyanga ,Geita ,Mara nk.ukilitaji jina la Membe watalishangaa.Hawajawahi hata kumsikia .labda kuna lingine analitafuta lakini siyo Urais.
Fact check on the ground, JPM anaenda kushinda kwa kishindo. Wakati mgumu kwake ulikua 2015.Hakuna haja ya kuweweseka au kupiga ramli tusubiri october mbichi na mbivu zitajulikana... huenda kura zikagawika mara tatu sitoshangaa hili na mshindi akawa chini ya 48% sijui katiba itasemaje... vinginevyo zipikwe kura za ziada!!
Kama CCM imerudisha imani kwa raia kwanini inakataa tume huru ya uchaguzi?
Wana CCM wa sasa ni CCM kazi aka wahemeaji. Unarudisha kitambulishon ha kaxi kumsaport mwanasiasa????Atakuwa rais wa mitandao. Kama kurudisha kadi ilikuwa dili kisiasa, jama nchi ingezizima kwa wanaorudisha kadi. Aangalie tofauti yake na Seif Sharif Hamad alipohama chama.
Amekosea aana mahesabu yake.