Hili jambo linakera sana, na kuna hadi mwingine anaandika kabisa, "Magufuri" hata humu JF wapo wengi. Huu ni ujinga.hili tatizo lipo kwa waTanzania wengi, imekuwa kama fashion sasahivi. Unakuta mProfessor mzima anaongea anasema "Gali yangu". Ushamba mwingi!!
Na font phagekwani kuna R au L wapi kwenye Hostages?
Inzi wa kijani usidhihaki uumbaji wa MunguUkimaliza hapo kamsaidie na Mbowe pia ili atuangalie vizuri!
Hayo ni mengine ya kwako Bro, Mimi nazungumzia hizi herufi mbili, L na R. Naomba wahusika wafanye juu chini wahakikishe anaondokana na hili tatizo kwa manufaa na heshima kwa Nchi yetu.kwani kuna R au L wapi kwenye Hostages?
Kweli, ila baada ya kufanikiwa kwenye R na L pia na haya mengine yazingatiwe sababu nayo pia yanapotosha maana.Hayo ni mengine ya kwako Bro, Mimi nazungumzia hizi herufi mbili, L na R. Naomba wahusika wafanye juu chini wahakikishe anaondokana na hili tatizo kwa manufaa na heshima kwa Nchi yetu.
Kwan Rais n msukuma? Tuanzie hapoWasukuma hawana R wanatumia L kwenye maneno yao mengi
Sasa kunafaida gani ya kusoma? Msomi anatakiwa aongee lugha fasahamkuu hayo mambo ya kawaida sana, usukumani hizo herufi zinatamkwa the same, kwa maana nyingne msukuma aloiva hatumii kabisa R bali L na pia usukumani kwa kufata mila za kisukuma hakuna majina yenye herufi ya R bali majina yote yenye mlengo huo yanapoandika kisukuma huwa ni L tu...mfano Mayala, Malando, Kabula, Milembe, Magufuli nk, so kwa kisukuma hakuna R bali kuna L..
"mwabheja bhagosha"
Naunga mkono hoja.
Kwanza namuunga mkono rais Magufuli kutumia lugha ya Kiswahili kila mahali hadi UN mwezi October mwaka huu, ila Kiswahili hicho kiwe ni Kiswahili fasaha.
P
Rejea
Na ikiwezekana Kama ameamua kuzungumza Kiswahili basi asichanganye na Kiingereza, kwa sababu huwa inasababisaha matatizo makubwa, kumbuka kuna wakati alitaka kusema."We are on the rite truck" lakini akakosea kutamka akasema, "we are on ze lite tlack, Kwani akiongea tu kiswahili fasaha kuna ubaya gani? Mbona Raisi wa wa China huwezi kumkuta popote akitamka neno lolote la Kiingereza!Naunga mkono hoja.
Kwanza namuunga mkono rais Magufuli kutumia lugha ya Kiswahili kila mahali hadi UN mwezi October mwaka huu, ila Kiswahili hicho kiwe ni Kiswahili fasaha.
P
Rejea
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! .
Wanabodi, Nimeangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinacharushwa Live na Star TV kila Jumamosi asubuhi. Namshauri Dialo atafute muda kipindi hiki kirudiwe jioni wakati wa prime time ili wengi waone. Kipindi cha leo kusema ukweli muongozaji Dotto Bulendu na mgeni wake Ansbert Ngurumo...www.jamiiforums.com