Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,204
- 42,063
Huu ndio ukweli ulio wazi ...watanzania hasa wanaojiita wasomi asilimia 90 hawawezi kuongea kingereza kabisa hasa mbele za watu hasa graduates...na huu ni ukweli ulio uchi...bado hata kwenye kukiandika kuna matatizo pia japo...ni rahisi hapa kusema fulani hajui kuzungumza kingereza kwakuwa unamuona anavyo hangaika lakini na kuhakikishia ukiitisha mdaharo wa wana jf hawa hawa wa humu ufanyike kwa kingereza tupu....utoamini kama ni hawa wanao lalamika humu...nina kuhakikishia itakuwa ni vituko.Lugha ya kuandika ni tofauti na kuongea, hata Ph.D ya Kemia, alifanya thesis yake kwa Kiingereza cha kuandika, na akaidefend kwenye jopo la wabobezi na ikapita, lakini mwambie akahutubie kwa Kiingereza...
P
Kuna mtu humu ni mahiri sana wa kuongea kuandika kingereza...lakini kuna sehemu nilimkuta alikuwa ana tetemeka na kigugumizi juu...hahahahaha
Ukweli ni kwamba si kingereza tuu hata Kiswahili kwa watanzania wengi ni tatizo kabisa...