Hersi usilazimishe Mambo, Muda ukifika utapata.

Hersi usilazimishe Mambo, Muda ukifika utapata.

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,620
Reaction score
39,980
Umegombea ubunge Kigamboni Chama kikakupiga chini, ukachangia mil.100 Kwa jina la Yanga kelele zikatoka Kila mahali kukshambulia. Katikati ya kelele hizo bila kupima madhara yake ghafla unajikeza kuchukua fomu upigiwe Kura na bado wamefyeka jina. Hii siyo speed ya kawaida brother. Binadamu ana breki, jifunze kusoma alama za nyakati.
 
Attachments

  • 20250815_162411.jpg
    20250815_162411.jpg
    149.3 KB · Views: 13
Umegombea ubunge Kigamboni Chama kikakupiga chini, ukachangia mil.100 Kwa jina la Yanga kelele zikatoka Kila mahali kukshambulia. Katikati ya kelele hizo bila kupima madhara yake ghafla unajikeza kuchukua fomu upigiwe Kura na bado wamefyeka jina. Hii siyo speed ya kawaida brother. Binadamu ana breki, jifunze kusoma alama za nyakati.
He amechukua fomu agombee wapi tena?
 
Sijui anataka nini tena, ni muajiriwa GSM bado ni raisi wa Yanga na ni kiongozi wa vilabu CAF. Anashindwa kukomaa hapo alipo apate exposure zaidi kupitia mpira wa miguu, yeye anawaza ujinga wa CCM. unaweza kuwa na pesa na elimu ila ukakosa maarifa.
Hela ya ubunge ni ya bure bure pasipo kuitolea jasho la kutaabika ndiyo maana wengi wanataka ubunge imagine kukaa tu kwenye kiti kizuuuri halafu umelala au unasema tu ndiyooo then hela inaingia su unagonga tu meza hela inaingia
 
Angetulia kwanza, kama awamu ya kwanza walimkata katika hatua za awali saivi wangeshindwa nini?
Alivyo Mjinga anafikiri alikatwa na jini kumbe Gharib ndo director kamkata ili aendelee kukaa hapo Yanga atimize malengo yake.

Ikiwa Gharib anayetoa 10B kuwapa sisiemu under the shadow of Jumanne Kaseja J.k angeshindwa mpambania apate Ubunge .!
 
Ndiyo uone hakuna anampigania mwananchi watu wanatafuta fursa kwa ajili yao wenyewe
 
Umegombea ubunge Kigamboni Chama kikakupiga chini, ukachangia mil.100 Kwa jina la Yanga kelele zikatoka Kila mahali kukshambulia. Katikati ya kelele hizo bila kupima madhara yake ghafla unajikeza kuchukua fomu upigiwe Kura na bado wamefyeka jina. Hii siyo speed ya kawaida brother. Binadamu ana breki, jifunze kusoma alama za nyakati.
Hii siyo speed ya kawaida brother. Binadamu ana breki, jifunze kusoma alama za nyakati
downloadfile-10.jpg
 
Hersi hajachukua form ya Ubunge Kongwa. Story imeundwa undwa ilimradi iaminike. Ikumbukwe siku ya kuchukua form Konga Hersi alikuwa Kigali tayari.

Ukiwa public figure shida sana, maana si kila jambo unatakiwa ulitolee ufafanuzi, hivyo wabaya wako wanakupopoa wanabaki kuku enjoy.
 
Back
Top Bottom