Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,619
- 39,979
Umegombea ubunge Kigamboni Chama kikakupiga chini, ukachangia mil.100 Kwa jina la Yanga kelele zikatoka Kila mahali kukshambulia. Katikati ya kelele hizo bila kupima madhara yake ghafla unajikeza kuchukua fomu upigiwe Kura na bado wamefyeka jina. Hii siyo speed ya kawaida brother. Binadamu ana breki, jifunze kusoma alama za nyakati.