Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 14,025
- 28,096
Wengine wanaenda mbali zaidi, kabla ya speech utasikia "Asante mama kwa kuweka mazingira mazuri nchini yaliyosaida tumeamka salama na sasa tupo hapa kujadili"Huwezi kuamini, huu unafiki umeshika kasi ya ajabu. Ulianza kww nguvu kubwa wakati wa Magufuli, sasa rasmi imekuwa kilema cha nchi. Yaani kila jambo linafanyika unasikia ni kwa ajili ya rais, mara tusiumuangushe rais, nia njema ya rais na upuuzi kama huo. Cha ajabu wanaoongoza kwa kujipendekeza huko ni wasomi!