Double standards ndio kitu ambacho kimezoeleka sana now days.Maumivu yanaendelea, mwaka huu na mvimbe mpasuke.
Haya mbona yanafanywa hata na Simba. Barbra alikua anaenda na mabango ya picha ya raisi uwanjaniYanga ni sawa na CCM B hao ni dugu moja.
Kauli mbiu yao ni uchawa na goli la mkono japokuwa walishindwa kwa Mwarabu.
Mkuu unataka kusema raisi kahamasisha Sana ndio maana yanga wameenda final? Asingehamasisha yanga wasingefika final?Kwahiyo kiongoz unaona kitendo cha rais kutoa ndege halafu ikakaa inawasubiri wamalize game na ikawarudisha for free ni kitu kidogo? Huoni mchango wa rais kwenye kuhamasisha wachezaji kwenye hii michuano mkuu.,. Hebu acha utoto basi.
Unavuka mipaka sasa, jitambue usiongozwe na hisia hadi kukosea pasipokupenda.Utasikia Mimi na mke wangu tunakojozana vizuri kitandani tunamshukuru sana mama Samia
Asante sana mama, uwe na afya njema
Ni Mimi mzalendo.
0785665564666
Utashangaa kawa Mkurugenzi wa HalmashauriHii nchi aibu huwa naona mimi, huu unafiki wa kujipendekeza kwa wanasiasa kamwe Mpira wetu hautakuja kuendelea.
Yaani huyu injinia uchwara Hersi anahojiwa kutoa maoni lakini ajabu maneno yote elfu kumi nikumwomba msamaha Samia Kwa kutokuchukua kombe hakuna cha wananchi, wanayanga Wala wanamichezo ilikuwa ni Samia tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Taifa la kinafiki hili ngoja ni process visa yangu nikafie hata Haiti tu sio Africa Bara la laana kila jitu nikusifu rais Rais rais muda wote uwanjani mabango ya mwanamke duuh
Si tulishakubaliana kuwa huko Yanga wenye akili ni wawili tu na Hersi siyo mmoja wa hao wawiliHii nchi aibu huwa naona mimi, huu unafiki wa kujipendekeza kwa wanasiasa kamwe Mpira wetu hautakuja kuendelea.
Yaani huyu injinia uchwara Hersi anahojiwa kutoa maoni lakini ajabu maneno yote elfu kumi nikumwomba msamaha Samia Kwa kutokuchukua kombe hakuna cha wananchi, wanayanga Wala wanamichezo ilikuwa ni Samia tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Taifa la kinafiki hili ngoja ni process visa yangu nikafie hata Haiti tu sio Africa Bara la laana kila jitu nikusifu rais Rais rais muda wote uwanjani mabango ya mwanamke duuh
Mwanamke hajiamini, kaanza kampeni ya 2025 mapema sanaHii nchi aibu huwa naona mimi, huu unafiki wa kujipendekeza kwa wanasiasa kamwe Mpira wetu hautakuja kuendelea.
Yaani huyu injinia uchwara Hersi anahojiwa kutoa maoni lakini ajabu maneno yote elfu kumi nikumwomba msamaha Samia Kwa kutokuchukua kombe hakuna cha wananchi, wanayanga Wala wanamichezo ilikuwa ni Samia tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Taifa la kinafiki hili ngoja ni process visa yangu nikafie hata Haiti tu sio Africa Bara la laana kila jitu nikusifu rais Rais rais muda wote uwanjani mabango ya mwanamke duuh
Kitimu cha kubebwabebwaHii nchi aibu huwa naona mimi, huu unafiki wa kujipendekeza kwa wanasiasa kamwe Mpira wetu hautakuja kuendelea.
Yaani huyu injinia uchwara Hersi anahojiwa kutoa maoni lakini ajabu maneno yote elfu kumi nikumwomba msamaha Samia Kwa kutokuchukua kombe hakuna cha wananchi, wanayanga Wala wanamichezo ilikuwa ni Samia tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Taifa la kinafiki hili ngoja ni process visa yangu nikafie hata Haiti tu sio Africa Bara la laana kila jitu nikusifu rais Rais rais muda wote uwanjani mabango ya mwanamke duuh
😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣 Imekupata penyewe hiyo 🤪🤪Hii nchi aibu huwa naona mimi, huu unafiki wa kujipendekeza kwa wanasiasa kamwe Mpira wetu hautakuja kuendelea.
Yaani huyu injinia uchwara Hersi anahojiwa kutoa maoni lakini ajabu maneno yote elfu kumi nikumwomba msamaha Samia Kwa kutokuchukua kombe hakuna cha wananchi, wanayanga Wala wanamichezo ilikuwa ni Samia tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Taifa la kinafiki hili ngoja ni process visa yangu nikafie hata Haiti tu sio Africa Bara la laana kila jitu nikusifu rais Rais rais muda wote uwanjani mabango ya mwanamke duuh
Mpumbavu mmja kama wewe na huyo mnaemlalamikia hawezi fanya Nchi yetu kuwa ya kipumbavu bwege weweNchi ya kipumbavu sana hii.. yaani Kila mtu anatafuta attention kwa kiongozi wa nchi. Majuzi kati kuna wanandoa wameumizana eti wanaomba rais aingilie kati
Nenda Cape Verde,Haiti utatekwa watudai ransom,na hivi unatamani kuwa mwanamke wasijewakakufanya ndivyo sivyo...Hii nchi aibu huwa naona mimi, huu unafiki wa kujipendekeza kwa wanasiasa kamwe Mpira wetu hautakuja kuendelea.
Yaani huyu injinia uchwara Hersi anahojiwa kutoa maoni lakini ajabu maneno yote elfu kumi nikumwomba msamaha Samia Kwa kutokuchukua kombe hakuna cha wananchi, wanayanga Wala wanamichezo ilikuwa ni Samia tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Taifa la kinafiki hili ngoja ni process visa yangu nikafie hata Haiti tu sio Africa Bara la laana kila jitu nikusifu rais Rais rais muda wote uwanjani mabango ya mwanamke duuh
Mliokosa fursa Huwa mna malalamiko na hasira sana Kwa nini?Hata wanasimba wale kina Fred vunjabei nk mda wote mabango ya Samia uwanjani. Ipo hivi kaka, apa bongo kifursa chochote kile mtu anakuwa mwehu
Nipo Malawi saa hiziWenye akili wakiona nchi yao ya kipumbavu wanaukana uraia na kuhamia nyingine, simple
Aligombea na akashinda Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya kupitia tiketi ya CCMVunjabei sio kiongozi
Mbona unabwatabwata? Au ndio wewe mlichapana na mkeo?Mpumbavu mmja kama wewe na huyo mnaemlalamikia hawezi fanya Nchi yetu kuwa ya kipumbavu bwege wewe
Hawa wajinga ni kuwapuuza na kuwacha na malalamiko Yao..Kwahiyo kiongoz unaona kitendo cha rais kutoa ndege halafu ikakaa inawasubiri wamalize game na ikawarudisha for free ni kitu kidogo? Huoni mchango wa rais kwenye kuhamasisha wachezaji kwenye hii michuano mkuu.,. Hebu acha utoto basi.
Wewe mjinga na taahira ufanye upumbavu uje kulaumu Nchi,stupidMbona unabwatabwata? Au ndio wewe mlichapana na mkeo?
Taaluma kama.haikupi Cha kushibisha tumbo unaitukuza ya nini? Ndio maana mnakuwa wapumbavu na mumejaa husdaWatu wana waza matumbo na kujipendekeza sikuhizi taluma siyo ishu tena .... ni mwendo wa kusifu tu ....