Hersi Said katumia muda wote kuomba msamaha kwa Rais Samia

Hersi Said katumia muda wote kuomba msamaha kwa Rais Samia

Hii nchi aibu huwa naona mimi, huu unafiki wa kujipendekeza Kwa wanasiasa kamwe Mpira wetu hautakuja kuendelea. Yani huyu injinia uchwara hersi anahojiwa kutoa maoni lakini ajabu maneno yote elfu kumi nikumwomba msamaha Samia Kwa kutokuchukua kombe hakuna cha wananchi, wanayanga Wala wanamichezo ilikuwa ni Samia tu, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Taifa la kinafiki hili ngoja ni process visa yangu nikafie hata Haiti tu sio Africa Bara la laana kila jitu nikusifu rais Rais rais mda wote uwanjani mabango ya mwanamke duuh

Anavizia Uteuzi Huyo
 
Namnukuu mo dewji

"Sisi simba tulipata kampuni kubwa iliyoahidi kutoa pesa nyingi kuliko wenzetu ya kutangaza kifuani kwenye mechi za kimataifa. hilo wazo likanijia mimi.

Nikasema rais samia anazunguka dunia nzima kutangaza utalii. Anafanya royal tour n.k. sisi kama simba timu inayowakilisha nchi nikaona kwa nini tusimsaidie rais kutangaza utalii?

Ndio maana tukaamua kuweka tangazo la visit tanzania kifuani"
 
Mheshimiwa sana Rais wetu mpendwa dokta mama yetu kipenzi ________

By Lucas nani nani yule sijui.

Nimecheka sana eti nchi ya kinafiki 🤣🤣🤣

Hii culture ya kusifu na kuabudu itatuchukua karne nzima kuitokomeza.
Lucas Mwashambwa sijui,
huwa anaweka na namba zake za simu mwisho wa thread,
ukishaona tu thread ya kulamba viatu ujue ni yake.
 
Hii nchi aibu huwa naona mimi, huu unafiki wa kujipendekeza Kwa wanasiasa kamwe Mpira wetu hautakuja kuendelea. Yani huyu injinia uchwara hersi anahojiwa kutoa maoni lakini ajabu maneno yote elfu kumi nikumwomba msamaha Samia Kwa kutokuchukua kombe hakuna cha wananchi, wanayanga Wala wanamichezo ilikuwa ni Samia tu, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Taifa la kinafiki hili ngoja ni process visa yangu nikafie hata Haiti tu sio Africa Bara la laana kila jitu nikusifu rais Rais rais mda wote uwanjani mabango ya mwanamke duuh
Huwezi kuamini, huu unafiki umeshika kasi ya ajabu. Ulianza kwa nguvu kubwa wakati wa Magufuli, sasa rasmi imekuwa kilema cha nchi. Yaani kila jambo linafanyika unasikia ni kwa ajili ya rais, mara tusiumuangushe rais, nia njema ya rais na upuuzi kama huo. Cha ajabu wanaoongoza kwa kujipendekeza huko ni wasomi!
 
Lucas Mwashambwa sijui,
huwa anaweka na namba zake za simu mwisho wa thread,
ukishaona tu thread ya kulamba viatu ujue ni yake.
Hivi unawezaje kumtaja mtu kwa majina/vivumishi zaidi ya 9. Huko ni kumkosea adabu Rais, inakuwa kama uko kitandani na mbebezi mara umemuita honey, mara nyongo mkalia ini, sijui mahabuba ilimradi jambo litiki 🤣
 
Back
Top Bottom