Hersi Said katumia muda wote kuomba msamaha kwa Rais Samia

Hersi Said katumia muda wote kuomba msamaha kwa Rais Samia

Taaluma kama.haikupi Cha kushibisha tumbo unaitukuza ya nini? Ndio maana mnakuwa wapumbavu na mumejaa husda
TuKifika mahala tumbo ndo imekuwa kipao mbele ..... we are in danger.... tutabakia watumwa wa fikra .....pia jifunze kujibu hoja kwa hoja hapa si mahala pa kutukana ..... kama huwezi zuia mihemko yako tafta sehem inayo kustahili
 
Nakwambia wewe utakuwa ni mpumbavu, yaani usome na ukichosomea hakikupi maisha then unaendelea kukitukuza utakuwa mpumbavu,si ajabu graduates ndio mnaongoza Kwa kuwa ma jobless
 
Halafu kumbe akili huna, umebaki housing tu. Hujaelewa halafu unakuja race. Njoo basi nikumwagie volcano. Maana mkiwashwa mnakuwaga mna vijisababu havieleweki hadi Basha ajiongeze
Njaaa mbaya sana 🤣🤣
 
Hii nchi aibu huwa naona mimi, huu unafiki wa kujipendekeza kwa wanasiasa kamwe Mpira wetu hautakuja kuendelea.

Yaani huyu injinia uchwara Hersi anahojiwa kutoa maoni lakini ajabu maneno yote elfu kumi nikumwomba msamaha Samia Kwa kutokuchukua kombe hakuna cha wananchi, wanayanga Wala wanamichezo ilikuwa ni Samia tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Taifa la kinafiki hili ngoja ni process visa yangu nikafie hata Haiti tu sio Africa Bara la laana kila jitu nikusifu rais Rais rais muda wote uwanjani mabango ya mwanamke duuh
 
Lazima a question huo uinjiania wake.

Isije ikawa ni sawa na huo udokta wako uliojipachika humu wakati maandishi yako yanajieleza namna ulivyo.
Akili zake ndogo anafikili professor Jay ni taaluma ya darasani
 
Rais nimwakilishi wa watanzania na alitoa ndege na mahela yetu kutaka kikombe kiiletee sifa nchi...kwanini asiombwe radhi kwaniaba ya watanzania wote unadhani angekuwa muuza urojo zenj angefuatwa na kuombwa radhi?? Inaombwa radhi ofisi kuu ya nchi kwakuwa nchi imeangushwa!!
Wajinga wasioelewa wanalalama eti ukaishi Haiti Kwa akili Gani? Somalia tuu watakukataa maana akili nizoofu!! Jiulize Wewe umewahi kushinda nini, labda njaa! Umeshikaga kombe gani? labda mbupu!! Mafala kazi wawezayo ni kulalamika
 
Yaani huyu injinia uchwara Hersi anahojiwa kutoa maoni lakini ajabu maneno yote elfu kumi nikumwomba msamaha Samia Kwa kutokuchukua kombe hakuna cha wananchi, wanayanga Wala wanamichezo ilikuwa ni Samia tu.
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
.
Kumbuka yule ni mfanya baishara ukiachilia mbali urais wa Yanga!!
 
Kuna ule mwaka (nadhani 2018) kitovu cha kupatwa kwa jua kulikuwa Wanging'ombe Iringa. Ilidaiwa watu toka mataifa mbalimbali walienda huko ili kushuhudia tukio hili.

Sasa bwana viongozi na wanasiasa nao wakafandia gari kwa mbele, wakaanza kumshukuru jiwe kwa kuwezesha kupatwa kwa jua. Pathetic!!
Hhhahaha hata ukinyaa chooni unasema Asante Samia Kwa Choo nimekunya salama
 
Hii nchi aibu huwa naona mimi, huu unafiki wa kujipendekeza kwa wanasiasa kamwe Mpira wetu hautakuja kuendelea.

Yaani huyu injinia uchwara Hersi anahojiwa kutoa maoni lakini ajabu maneno yote elfu kumi nikumwomba msamaha Samia Kwa kutokuchukua kombe hakuna cha wananchi, wanayanga Wala wanamichezo ilikuwa ni Samia tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Taifa la kinafiki hili ngoja ni process visa yangu nikafie hata Haiti tu sio Africa Bara la laana kila jitu nikusifu rais Rais rais muda wote uwanjani mabango ya mwanamke duuh
Fuatilia hili.
Kila serikali inapotia mkono wake basi na chama kinaingia basi ujuwe hakuina mafanikio . Hakuna ushindi.
Maana utasikia maahadi tele na kuwa haribu wachezaji ki akili.

Hebu tuziache timu zicheze kiwenyewe na pale wakifanya vizuri ndio nenda kuwazawadia.

Mifano Ipo Simba walishindwa
Taifa stars Walishindwa
Yanga wameshindwa
 
Natamani siku ufahamu Mamlaka,Nguvu,UTISHO,Uwezo na Upako alionao yeyote anaepewa kibari cha kuwa Rais au mfalme..

Kuna Wanausalama kazi yao ni kuangalia uso /Sura /Macho ya Mkuu tu..Akicheka heri..Akinuna.. mhh

Wapo wanao angalia mikono yake..Si ruhusa kumsalimia mkuu wa nchi na kutikisa au kumfinya mikono..Ole kwa yeyote..

Wapo wanaonukuu kauli,maneno,maagizo,maelekezo..

Wapo wanao angalia miguu yake..

Kauli ya mkuu wa nchi ni Amri..waache wale ndugu zangu wa TRA wanaodharau anapotoa maagizo..na kusema ni ya kisiasa..Mweee

Raisi ni mteule wa Mungu (Bila Mungu kutoa kibali cha yeyote kuwa hawezi kuwa hata iweje..Mungu akiamua hata Charamila/Msukuma/Mwambe/Lukuvi/Rosta
/Heche/Mayalla/Zito…;…. au Gwajima awe ..Hakuna awezae kuzuia
 
Back
Top Bottom