Heri ya siku yangu ya kuzaliwa

Heri ya siku yangu ya kuzaliwa

Nyerere aliondoka na masikitiko makubwa sana, nafikiri ulipishana nae njiani ila sijajua kama kunakitu alikuagiza uje utuambie, ila naimani mpaka leo hana raha huko aliko kupishana na manka mkali kama wewe njiani, nahisi aligeuza shingo hadi nusu ikatike kwa kuutazama mzigo ukinesanesa aisee.
Kwamba mwalimu alitaman kazigo Ka mtoto mchanga πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Nyerere aliondoka na masikitiko makubwa sana, nafikiri ulipishana nae njiani ila sijajua kama kunakitu alikuagiza uje utuambie, ila naimani mpaka leo hana raha huko aliko kupishana na manka mkali kama wewe njiani, nahisi aligeuza shingo hadi nusu ikatike kwa kuutazama mzigo ukinesanesa aisee.
Huu waraka sijaambulia kitu hebu nisumalaizie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom