Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,580
- 13,048
Kukuelezea humu itakuwa ni ngumu kunielewa utatoka kapa tena, ingefaa utembelee makazi yangu nikuelezee vizuri kisha tumege na keki angalau ndogo maana inawalaji wengi humu ndani.Huu waraka sijaambulia kitu hebu nisumalaizie