Heri ya Noel 2009 na mwaka mpya 2010! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heri ya Noel 2009 na mwaka mpya 2010!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Njowepo, Dec 15, 2009.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Jamii forum vip ? mashasham yote aya ya Xmass na Mwaka mpya dunia nzima apa bado ziiiiiiiiiiiii

  Ebu tupe kitu angalau kwa home page apa,au kuna tarehe za kubadili laiti ningekuwa nakumbuka mwaka jana ilibadilishwa kipindi gani I could have a reference.

  Concerned people work on that please!
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu Watanzania wote nawatakia Heri ya Noel na mwaka mpya wa 2010 .Tukazane pia kuwa na mtizamo mpya mwaka 2010 .

  Heri ya Noel watanzania .

  Lunyungu
   
 3. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na kwako pia!
   
 4. Kakati

  Kakati Senior Member

  #4
  Dec 17, 2009
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 151
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Heri kwako pia.
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Na wewe pia. Mungu akubariki na akuzidishie.
   
 6. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2009
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Na kwako pia, Mungu akujalie kuuona mwaka mpya na uwe wa furaha na mafanikio!
   
 7. K

  Kijunjwe Senior Member

  #7
  Dec 17, 2009
  Joined: Mar 3, 2007
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nawe pia twakutakia kheri ya NOEL na Mwaka Mpya.
  Mungu awajalie wani jamii afya tele kwa kipindi hiki.
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  unawatakia WANASIASA TU?
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,054
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Pillaaz! Nakutakia noeli njema!
   
 10. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na wewe pia,ujitahidi kutimiza malengo ya mwaka 2010.
  Pia kwa wana JF wote,michango yenu imekuwa mswano sana.
  Heri ya Krismas na mwaka mpya 2010.
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  namshangaa huyu mwa-lunyungu(homeboi wangu huyu) anaweka hii thread kwenye siasa!
  i hope ni addictions!:D
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,054
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Hehehe! Malijendi siyo? ngoja nami nikawatakie wa malavidavi!
   
 13. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,741
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Heri kwako pia Lunyungu.
   
 14. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Same to you and be blessed!
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 17. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Dec 18, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Heshima wakuu!
  Kuelekea katika sikukuu za mwisho wa mwaka nimeona ni bora nikasherehekee pamoja na ndugu na jamaa katika kijiji nilichozaliwa na kukulia. Nawatakieni Krismasi na mwaka mpya mwema, kwani baada ya leo sitaingia tena hapa jukwaani hadi mwakani panapo majaaliwa!
  Hii ni kutokana na kuwa kijijini kwetu hakuna umeme that means huduma ya intaneti ni msamiati mgumu kwetu, na mawasiliano ya simu unapatikana mtandao mmoja tu tena kwa shida hadi kuwa sehemu za miinuko au juu ya mti ndio mawasiliano yanapatikana. Chanzo kikuu cha habari ni redio tu ambayo stesheni zinazoshika ni TBC Taifa na RFA ambazo hupatikana nyakati za usiku tu. Kifupi ni kuwa nitamiss sana jukwaa letu hili.
  Kila la Heri wakuu!!!!
   
 19. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Nakutakia siku kuu njema ndugu yangu. Ni vizuri kwamba wewe angalau umewakumbuka ndugu yangu. Ukiacha jamaa wanaotembea katika barabara za lami hadi mlangoni ambao huende kuhiji home kila Xmass, wengine tumepasahau kwetu hadi tunapofika mara moja moja tunaanza kutafuta mahali kilipokuwa kimejengwa kibanda tulichokulia. Si ajabu kumkuta mtu anauliza kwa mzee fulani kumbe anapatata kwao. Na kwa vile watu wengi walishamsahau anapeta tu!

  Hiyo rangi nyekundu; hebu basi jaribu kuwambia hao ndugu yako kuwa hawakuzaliwa na laana wala siyo mpango wa Mungu kwamba wao waishi kama Chips. Ni uamuzi wao kubadili hayo maisha. Jaribu tu kuwasaidia waone kidogo nyota kama hawawezi kuona mwezi wala jua!!
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  heri ya noeli baba!
  ingawa hukuitaji kurusha thread kwa ajili ya hilo.au mods muipeleke hii kwenye thread ya HERI YA NOELI
   
Loading...