Heri ya Noel 2009 na mwaka mpya 2010!

RAHA YA MILELE WAPEWE MODS WOTE!................na mwanga wa milele uwaangazie...!wapumzike kwa amani...AMINA
MODS........hii sala mmeisikia kama yule mtoto wa temeke aliyenusurika kuzikwa hai............ FUFUKENI BASI KWA KUM'BAN MWANZISHA SALA HII..........tehee ......teheeeeee......
 
H aha ha ha ha! Huyu mleta bandiko anaoneka anahisia kuwa ma modes si wakristo

Mi naamini hata kama modes si wakristo lakini wanapaswa kulipendezesha jamvi katika msimu huu wa sikukuu muhimu kabisa.

Pengine wameenda likizo baada ya kazi ngumu ya mwaka mzima..........
 
Mi naamini hata kama modes si wakristo lakini wanapaswa kulipendezesha jamvi katika msimu huu wa sikukuu muhimu kabisa.

Pengine wameenda likizo baada ya kazi ngumu ya mwaka mzima..........

Hembu vunja sheria kama kweli wako likizo, nahisi hata hawalalagi
 
..Ngoja nitammuliza Invisible baade tukikutana kwenye kushuhudia ushindi wa wekundu wa Msimbazi inawezekana ndio sera mpya za kufunga mwaka jf...Ni kuuchuna mwanzo. mwisho
 
MODS........hii sala mmeisikia kama yule mtoto wa temeke aliyenusurika kuzikwa hai............ FUFUKENI BASI KWA KUM'BAN MWANZISHA SALA HII..........tehee ......teheeeeee......
Vipi binti,
bado una hamu?
 
hili nazani sio kwamba walijisahau ila kuna kipindi watu walilalamika kuwa jamii forum ni ya wakristo kisa yale mapambo kwa vile ma mod wanabusara wakaona wasiweke tena ili kuto kufungamana na upande wowote.

kama mjuavyo sio wote wanaitaqkia mema jamii forum ndio mana imekuwa hivyo
 
Hebu tuwasaidie Mods kupamba jukwaa:
christmas02.gif
christmas07.gif
christmas06.gif

christmas01.gif

lights06.gif

christmas04.gif
christmas05.gif

animated-christmas-glitter-shimmer.gif
spacer.gif
 
Angalizo.
Mathew 7:22 Wengi wataniambia Siku ile ya hukumu: `Bwana, Bwana! kwa jina lako tulitangaza ujumbe wako, na kwa jina lako tuliwatoa pepo na kufanya miujiza mingi.`
7:23 Hapo nitawaambia: `Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni mbele yangu, enyi watenda maovu.`
 
Back
Top Bottom