Kumbe ww ndo unaona ushamba ..haahaa wengine ndo tunaona ujanja sasa [emoji6] [emoji6] [emoji6]Mbona mwaka mpya wenyewe haujafika jamani.....
Mi naona kama ushamba fulani hivi, kusherehekea penati hata filimbi haijapigwa.
Subirini tuuone mwaka kwanza, au ndio mara yenu ya kwanza mazee....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Happy new year in advance to
Raimundo
Wewe mdau eneo lile!?Mwaka Mgumu mpaka, K, Buguruni zimeshuka price