Heri ya mwaka mpya wana MMU wote

Ahsante Mungu kwa neema na baraka katika mwaka uliopita pia kwa kuuona mwaka huu! Si kama tulistahili sana kuzidi wale ambao hawakuweza kuuona mwaka huu. La hasha! ila ni neema na mapenzi yako tu!

Atukuzwe Mungu kwa ukuu wake!
 
Hepi nyu yia wote, Hongereni huko Tanzania, sie huku bado kidogo.
Mungu awaongoze ktk njia salama.
Msalimieni Lema gerezani mwambieni yatatimia.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom