Heri ya mwaka mpya wana MMU wote

Heri ya mwaka mpya wana MMU wote

Ahsante Mungu kwa neema na baraka katika mwaka uliopita pia kwa kuuona mwaka huu! Si kama tulistahili sana kuzidi wale ambao hawakuweza kuuona mwaka huu. La hasha! ila ni neema na mapenzi yako tu!

Atukuzwe Mungu kwa ukuu wake!
Amina
 
Mimi na mchepuko wangu tunapenda kuwatakia kheri ya mwaka mpya, haikuwa kazi rahisi kumaliza mwaka bila kukamatwa naomba 2017 uwe mwaka wa mafanikio tena
 
Back
Top Bottom