Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,753
Hello people
Tumebakiwa na masaa kadhaa tuumalize mwaka 2021,ni muhimu kumshukuru Mungu kwa kila jambo,yapo mengi magumu tumepitia lakini kwa kila jambo ni muhimu kumshukuru Mungu hadi hapa tulipofikia
Kwa niaba ya kila atakayesoma hapa naomba mambo haya
Mwenyezi Mungu akatujaalie afya njema,hekima,mafanikio,moyo wa kupambana bila kukata tamaa,akatupe moyo wa kusamehe na kuachana na visasi,akatujaalie moyo wa upendo na maelewano,akatukumbushe kufanya ibada,chuki na visasi vikakae mbali na mioyo yetu....tunatubu kwa kila baya tulilofanya kwa kujua ama kwa kutokujua AMEN!
Wewe unayepitia magumu kwa sasa usikate tamaa,hili nalo litapita...2022 utakuwa mwaka mzuri kinyamaaa!
Asante Mungu kwa haya maisha 🙏
Mungu ni mwema wakati wote!!
Mimi nawapenda
Cheers to 2022 🥂