NITATOA USHUHUDA
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 757
- 730
Duuuu!!!Afadhali bhana 2020 inazidi kusogea ili tukiondoe hichi kichefu chefu.
View attachment 982504
Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2019, Ni matumaini yangu utakuwa wenye Baraka tele kwa kipindi chote.
En vous souhaitant une bonne année 2019 dans l'espoir que vous aurez de nombreuses bénédictions pour l'année à venir.
Wishing you a Happy New Year 2019 with the hope that you will have many blessings in the year to come.
أتمنى لكم سنة جديدة سعيدة 2019 على أمل أن يكون لديك العديد من النعم في السنة القادمة.
أتمنى لكم سنة جديدة سعيدة 2019 على أمل أن يكون لديك العديد من النعم في السنة القادمة.
'atamanaa lakum sanatan jadidat saeidat 2019 ealaa 'amal 'an yakun ladayk aledyd min alnaeam fi alsanat alqadimat
Asanteni
Merci
Thanks
Shakar
Sipangiwi vipaumbele vyangu mkuu
Salamu zako zimetumia Kikokotoo Kipya mkuu, rudisha cha awali utaona mwenyewe itifaki itazingatiwa😀😀😀Nawatakia heri ya fanaka makamu wa rais mana têtu mpendwa samia suluhu Hassan na mh kasimu majaliwa waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa tanzania.
wito wangu kwenu busara zenu zitatuvusha !!!
Natamani sana kukijua KIARABU.
Sio 2019Kwanini...?
Kwani huu ni mwaka gani...?
Ni tetesi kwamba unawatakia heri ya mwaka mpya?Nawatakia heri ya fanaka makamu wa rais mama yetu mpendwa samia suluhu Hassan na mh kasimu majaliwa waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa tanzania.
wito wangu kwenu busara zenu zitatuvusha !!!
Bali..?Sio 2019