Amanikwenu
Senior Member
- Dec 1, 2009
- 187
- 0
Kwa jinsi utendaji wa Mh. Pinda unavyokatisha tamaa, ni bora William Lukuvi ndiyo angekuwa Waziri Mkuu badala ya Pinda.
kwa jinsi utendaji wa mh. Pinda unavyokatisha tamaa, ni bora william lukuvi ndiyo angekuwa waziri mkuu badala ya pinda.
Kwa jinsi utendaji wa Mh. Pinda unavyokatisha tamaa, ni bora William Lukuvi ndiyo angekuwa Waziri Mkuu badala ya Pinda.
Kwani Lukuvi ashakuwa PM tukaona utendaji wake! Unaweza kushangaa, saa nyingine mtu ni PM mzuri wakampa urais akachemsha vibaya au waziri mzuri wakampa u-PM naye akatokota!
Kwa jinsi utendaji wa Mh. Pinda unavyokatisha tamaa, ni bora William Lukuvi ndiyo angekuwa Waziri Mkuu badala ya Pinda.
heri lowassa x 1000000000000 .tusingekuwa na matatizo ya omeme . :whoo:
Omeme au Umeme. Unaweza kutatua tatizo dogo ukatengeneza kubwa zaidi.