Heri ya Lukuvi Kuliko Pinda


Anko Sam

Anko Sam

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2010
Messages
3,212
Likes
24
Points
135
Anko Sam

Anko Sam

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2010
3,212 24 135
Ndugu performance ya PM haiwezi kuwa determined na kelele. Shida mnataka Pinda awe anapiga kelele kama zile za magufuli ndo mjue ni mchapa kazi - Si kweli. Kuna mtu alikuwa anajua kukuru kakara kama Lowasa? Mbona amekuja akawasaliti watanzania kwa kupiga deal la Richimond. PM ana mengi ya kufanya katika uendeshaje wa shughuli za serikali and his main tools are hekima, busara na uelewa.
Lakini ukweli HERI FISADI LOWASSA kuliko MTOTO WA MKULIMA PINDA! Lowasa alikuwa akifanya ziara sehemu wakurugenzi wa halmashauri na wakuu wa wilaya wazembe walikuwa tumbo joto. Kama angeendelea utendaji wa viongozi wengi wa kimazoea mazoea ungekwisha. Tatizo lake lilikuwa "kusaka mahela" fasta fasta. Siyo huyu Pinda amekuwa mpole mno inatia aibu mpaka analia....aaaah noma!

Nchi hii sasa hivi inataka akina-Sokoine au Mrema. Kwa hivi sasa mtu aliyekuwa anafaa sana kuwa MP ni MAGUFULI, sema wanambania tu.
 
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
8,946
Likes
913
Points
280
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
8,946 913 280
dah kuna mtu hapo juu kamtaka Edward wa ukweli yaani Sokoine.
Huyu jamaa itapita mamia ya miaka na CCM hawatapata mtu safi kama huyu.

Alitaja mali na akaorodhesha mpk safari buti zake pea mbili.
Je ni kiongozi gani mwenye ushujaa huu kwa miala 20 tu iliyopita?

Hiyu ndie waziri mkuu wa ukweli...sio huyo wenu mkimjambisha tu analia huku analamba kamasi
 
K

kaka mtu

Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
17
Likes
0
Points
0
K

kaka mtu

Member
Joined Nov 15, 2010
17 0 0
hii ya juzi ya kukataa na kuligawa kwa mwingine kana kwamba huyo mwingine atakuwa analilisha uji...amezid kunikera sana.....
Ni kweli mkuu anatia hasira sana, yaani yeye anataka sisi wananchi tuichukie serikali halafu yeye aonekane bora au tumuonee huruma wakati yumo serikalini na ndiye mtendaji mkuu wa shughuli zote za serikali.
Kwanza PM anatugombanisha na serikali ili wananchi wakasirike, na wakikasirika sijui kama na yeye atapona. Kwa kifupi ni kiongozi dhaifu mno..
 
A

Amanikwenu

Senior Member
Joined
Dec 1, 2009
Messages
187
Likes
2
Points
0
A

Amanikwenu

Senior Member
Joined Dec 1, 2009
187 2 0
Ni kweli mkuu anatia hasira sana, yaani yeye anataka sisi wananchi tuichukie serikali halafu yeye aonekane bora au tumuonee huruma wakati yumo serikalini na ndiye mtendaji mkuu wa shughuli zote za serikali.
Kwanza PM anatugombanisha na serikali ili wananchi wakasirike, na wakikasirika sijui kama na yeye atapona. Kwa kifupi ni kiongozi dhaifu mno..
Umesema kweli Mkuu.
 

Forum statistics

Threads 1,236,520
Members 475,174
Posts 29,260,558