Heri ya Lukuvi Kuliko Pinda

Amanikwenu

Senior Member
Dec 1, 2009
187
0
Kwa jinsi utendaji wa Mh. Pinda unavyokatisha tamaa, ni bora William Lukuvi ndiyo angekuwa Waziri Mkuu badala ya Pinda.
 
Ni kweli yaani Pinda ni sawa na Kuku aliyelowa maji.Sijawahi kuona Waziri Mkuu asiye na sauti,yupo yupo tu
 
Anakera kwa kweli na hatoi matumaini yoyote. Mbaya zaidi haonyeshi kama yeye ni Waziri Mkuu.
 
Kwa jinsi utendaji wa Mh. Pinda unavyokatisha tamaa, ni bora William Lukuvi ndiyo angekuwa Waziri Mkuu badala ya Pinda.

Kwani Lukuvi ashakuwa PM tukaona utendaji wake! Unaweza kushangaa, saa nyingine mtu ni PM mzuri wakampa urais akachemsha vibaya au waziri mzuri wakampa u-PM naye akatokota!





 
Kwani Lukuvi ashakuwa PM tukaona utendaji wake! Unaweza kushangaa, saa nyingine mtu ni PM mzuri wakampa urais akachemsha vibaya au waziri mzuri wakampa u-PM naye akatokota!

Unachokisema si lazima kiwe kweli. Kwa kifupi Pinda anakatisha tamaa. Kama si Lukuvi basi Sitta angefaa sana.
 
mmmh. jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.ma PM wengi wamepita nchi hii lakini wengi wao wakaishia kuwa manyang'au


wakubwa wanakula kamisheni mpaka kwenye dili la mia mbili!!! acheni bwana, don't be emotional.
 
kazi kulia lia tu mbele za watu.............anakatia hasira sna .. na hii ya juzi ya kukataa na kuligawa kwa mwingine kana kwamba huyo mwingine atakuwa analilisha uji...amezid kunikera sana.....
 
hivi kipi bora"KUSUSIA HOTUBA YA RAIS NA KUSUSIA GARI ULILONUNULIWA NA RAIS.gari linaagizwa unaona baadae silitaki!!.
 
Pinda huyu huyu mtoto wa mkulima?
Si ndio huyu huyu aliyesema siku akipokea rushwa Mungu aichukue roho yake...!!
 
heri lowassa x 1000000000000 .tusingekuwa na matatizo ya omeme . :whoo:
 
Kwa jinsi utendaji wa Mh. Pinda unavyokatisha tamaa, ni bora William Lukuvi ndiyo angekuwa Waziri Mkuu badala ya Pinda.

Wewe nikikuangalia usoni wewe kama vile ulikuwa unataka kusema lowasa ila ukachanganyikiwa ukasema lukuvi kwa vile majina yao wote yameanzia na L. Why lukuvi and not others?
 
Ni hatari kuwa na kiongozi anayejivunia umasikini halafu mwoga. Tunataka masikini jeuri thats it.
 
Jamani hata ateuliwe nani lazima atachemsha tuu
Kinachotakiwa ni ku overhaul system nzima maana

Tatizo ni mfumo tulionao wa kulindana na kwa wenye mapenzi
mema na nchi wanatishiwa na mafisadi walioishika nchi unategemea waziri mkuu
atafanya nini kama hupart full support toka kwa Rahisi.....!?
 
Ndugu performance ya PM haiwezi kuwa determined na kelele. Shida mnataka Pinda awe anapiga kelele kama zile za magufuli ndo mjue ni mchapa kazi - Si kweli. Kuna mtu alikuwa anajua kukuru kakara kama Lowasa? Mbona amekuja akawasaliti watanzania kwa kupiga deal la Richimond. PM ana mengi ya kufanya katika uendeshaje wa shughuli za serikali and his main tools are hekima, busara na uelewa.
 
Back
Top Bottom