Khaaaa! Mr Rocky umesahau huu ndio ule mwezi tumeagizwa kuwapenda maadui zetu na kuwatendea mema?
Taratibu na mdomo wako Mungi , usijenivunjia ndoa mie !
Arushaone mwenyewe kahamia kwa Mamzalendo
Kwe kwe kwe kwe! Mko wangapi?Mbona niko nawe pia jamani Blaki Womani? Punguza wivu mpenzi.
Mbona niko nawe pia jamani Blaki Womani? Punguza wivu mpenzi.
Kwe kwe kwe kwe! Mko wangapi?
Hehehehe! Na dalili zinaonyesha mtafika nduruma mda sio mrefu!msururu hadi kijenge
Lily Flower kwa jinsi unavyoninanii hata kuandika siwezi tenaBabe Mungi yuko pande hizi hata keyboard hawezi shika tena.
Sina hasara manake utabaki wewe namba mojaKwani wa namba 30 akiondoka una hasara gani?
We thubutu yako !