Aaah! Usijali bana mi si nipo unaniona?
Asante sana Mkuu
Kwa wakati huu ni muda wa kutafakari ni wapi tulikosea na wapi twapaswa kujisahihisha ili kuweza kurudi katika mstari ulioonyooka
Kimaisha pia ni wakati wa kutafakari ni yapi tuliyafanya kwa ufanisi katika mipango yetu ya mwaka huu na wapi ambapo tulishindwa kufikia malengo yetu
Asante sana na tuombeane tuweze kuumaliza mwaka huu salama
Asante sana Meezy na akina Arushaone, Erickb52, Baba V, Kaunga, AshaDii, Asprin< Bishanga, Blaki Womani, sweetlady, snowhite, HorsePower, Preta, gfsonwin, Filipo, St. Paka Mweusi @st. ivuga, marejesho, na my wife wangu mpendwa Dena Amsi nawatakia maandalizi mema ya sikukuu zijazo hapa
Usimsikilize Arushaone anaona wivu vile sijamkaribisha!

Hapa kuna kitu Sijaelewa :mwaaah::confused3:
kipi sasa my wife hujaelewa hapo
Unanitakia Heri ya Christmas au tunawatakia hao uliowataja??!!!
Kwa wale wanaopenda machalari, karbuni sana 24dec-01jan