Heri hii forum ya 'Malove Malove'. Big up!

ha ha ha kashaija bwana umenifurahisha kweli umeongezeka uzito?? Ukiingia humu lazima ukomae na ubadili mwenendo kuna kitchen party, bachelor party na kila kitu humu utajifunza kutokana na makosa na mawazo ya humu mmu

nataka nikufanyie hii kitu
 
teh teh utakuwa mhaya tu wewe....:teeth:

yaani unamaanisha mzee wa KATERERO
Cha ajabu wachaga ndio wanaijua kupiga kateteri kuliko wahaya sijui wanafundishwa na nani??
 
Ha ha ha Kashaija bwana umenifurahisha kweli umeongezeka uzito?? Ukiingia humu lazima ukomae na ubadili mwenendo kuna kitchen/bag party, bachelor party na kila kitu humu utajifunza kutokana na makosa na mawazo ya humu MMU

Dena naomba nifanyiwe kitu hiki. Niko interested na zawadi za kina mama wa JF.
 
Maandiko yanasema mtu hataishi kwa mkate tu ila kwa kila.......................................... Jambo la msingi ni kuwa hakuna siasa tupu bila mapenzi wala mapenzi tupu bila siasa. Vyote ni vyetu na ni lazima vyote viende kwa pamoja. Nenda kule na huku mradi tu usizidishe! Utanenepa zaidi
 
Kwenye siasa nilikonda sana. Mara kura za Dr wa kweli zimeibwa, mara Shinyanga mgombea wa CCM ashinda kwa nusu kura,.... Acha kwanza nistaafu siasa niongeze hata umri wa kuishi.
 
Back
Top Bottom