Here we Go-Mnyika na Nape live ITV

Sasa kama huelewi kwanini hutendi haki unaendelea kutujazia mtindio wako wa ubongo hapa?

Haeleweki mara hii mara kile hata hajijui anataka kusema nini, amezowea kudanganya na Nape alikuwa anamcheki tu jamaa anajigonga mara hiki mara kile. Hayuko sawa yule, nna uhakika.
 
Hiyo asilimia 20 ni kidogo? Na nd'o maana Nyerere akaasa kwasababu wapo wanaotaka vyama vingi basi mfumo huo uridhiwe na nd'o demokrasia,idadi ya watu wale haikuwa ndogo.Na hata hao 80% waliokataa mimi nikiwa mmoja wao,tulifanya hivyo kwa sababu ya nia ovu ya watawala wa kipindi hicho waliokuwa wanatuchagiza kuwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi vya siasa ni kuleta vita vya wenyewe na umwagaji damu mkubwa utatokea kitu ambacho kwa ambao hatukuwa na exposure wakati huo tuliamini ni ukweli kabisa,but thanks be to the Almighty God kwa ajili ya 20% ile manake ndo ilyotumika kuungiza mfumo huu tulionao sasa.

Mwinyi, sio Nyerere, hiyo tume iliundwa na Mwinyi na Mwinyi ndiye aliamuwa.
 
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wengi wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.
Hajadanganya sema amekosea!
 
Mwinyi, sio Nyerere, hiyo tume iliundwa na Mwinyi na Mwinyi ndiye aliamuwa.

Kweli nimeamini kuna kitu kinakusumbua. Kuna mchangiaji kasema kwamba rangi nyeupe wewe unasema ni nyekundu. Majibu yako hayaendani na hoja ya msingi. Yaani unajibu swali ambalo hujaulizwa. Toxic hajazungumzia ni nani aliunda tume. Kasema Mwal. Nyerere aliasa (si kuamua - ingawa wosia wa Mwl. Nyerere mara nyingi ulichukukuliwa kama msimamo/maamuzi) 20% ya Watanzania waliotaka mfumo wa vyama vingi wasipuuzwe. Na huo ndio ukweli.
 
Mnyika, anaulizwa kuhusu katiba anaongelea kuhusu Nyalali, nakwambia huyu kijana kidogo ana matatizo ya Kichwa.

Sasa anaongelea uchumi na ushindani na vyama vya ushirika. Nakwambia hata sielewi anaongelea nini?

Kama huelewi si uzime tv ukakoje ulale?acha kuturushia stim,wote tunatazama..shhhh:tape:
 
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wengi wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.

......kwahiyo nini maana ya hizo kura kama wengi walikataa vyama vingi na vikaruhusiwa? Ina maana aliyeruhusu mfumo wa vyama vingi alikuwa mwehu kama Wana CCM wengi wa sasa hivi (Including you)?
 
Msubirini yule dada Kiboko wa Mdahalo nimemuona Juzi hapa kwa Mama Mhavile unadhani kafuata nini, hawa cha mtoto,
 
wanamuonea Nape kumpambanisha na JJ hii haikubaliki,haki za binadamu naomba waingilie kati!!!

Naunga mkono hojanyako!

Kumpambanisha JJ na Nape ni kunajisi muda wetu adimu wa kuangalia TV maana kila MTZ anajua nani ataleta hoja za maana kwa watz na nani atabwabwaja tu!

JJ at least if not at last apambanishwe na Makamu Mwenyekiti-CCM Mangula hapo ndipo nitakaa chini niangalie mdahalo wa hoja za nguvu!

Nape sio size ya JJ!
 
Unanchekesha, ubalozi wa nini mie, labda nyie ndio wenye shida ya kazi. Mie nakula pension na kodi za Kariakoo kwa raha zangu.[
Kutwa kucha upo JF, do you have kids? do you have a significant other? what time do you spend with?
 
iko wapi hiyo JF? Hivi hujui kuwa JF ni virtual? hujui kuwa unaweza kuwa nayo sehemu yoyote? au hauna mawasiliano yaliyoenda shule?

Ulijuaje kama hatupo pamoja?
 
Mimi nipo hapa mahakama ya mwanzo nafungua faili, Nimeamua kuishitaki ITV kwa kosa walilo lifanya la kuwaalika watu wawili wasiofanana wala kukaribiana kiuwezo wa kufikiri kujadili hoja kwapamoja. Hakika huwezi kumpambanisha Kindagate (Nape) dhidi ya University (Mnyika) katika kuchanganua hoja.
Wana Jf huu ni uonevu mkubwa na hauvumiliki kabisa, naombeni mwenye ushaidi zaidi juu ya uonevu huu anisaidie. Pia naomba wanaccm wenzangu tuungane pamoja kipindi hiki ambacho mwenzetu ameonewa.

Nawakilisha:
 
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wengi wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.
Can you please shut up madame,
Watu tunasikiliza / soma mambo muhimu unaleta upuuzi hapa.
 
Hiyo asilimia 20 ni kidogo? Na nd'o maana Nyerere akaasa kwasababu wapo wanaotaka vyama vingi basi mfumo huo uridhiwe na nd'o demokrasia,idadi ya watu wale haikuwa ndogo.Na hata hao 80% waliokataa mimi nikiwa mmoja wao,tulifanya hivyo kwa sababu ya nia ovu ya watawala wa kipindi hicho waliokuwa wanatuchagiza kuwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi vya siasa ni kuleta vita vya wenyewe na umwagaji damu mkubwa utatokea kitu ambacho kwa ambao hatukuwa na exposure wakati huo tuliamini ni ukweli kabisa,but thanks be to the Almighty God kwa ajili ya 20% ile manake ndo ilyotumika kuungiza mfumo huu tulionao sasa.

Wewe mburula mnyika kasema watu wengi walisema wanataka mabadiliko makubwa ya mfumo wa uongozi na utawala pia mageuzi makubwa ya ki utendaji lakini walikataa vyama ving, sasa tume iliona mabadiliko wanayotaka watu yanaweza kuletwa na vyama vingi tuu na ikagundua watu wengi awaelewi maana ya vyama vingi ndo maana ikaamua kushauli mfumo wa vyama ving upite sababu watu wengi walitaka mabadiliko ambayo yanaletwa na vyama vingi lakin awakujua kua ndio mfumo wa vyama ving
 
iko wapi hiyo JF? Hivi hujui kuwa JF ni virtual? hujui kuwa unaweza kuwa nayo sehemu yoyote? au hauna mawasiliano yaliyoenda shule?

Ulijuaje kama hatupo pamoja?
Unajua hapa kijijini kwetu kupata mtandao ni kwa foleni na ukiingia basi ni kwa masaa. Haya yote yanasababishwa na serikali ya CCM, zaidi ya mika 50 ya uhuru, umeme ni mgao, Net kwa foleni na simu kodi juu
 
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wengi wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.

una ushahidi wa kuku back up?
 
Inauma enh?

Ukiona mwanamke mpaka sasa yuko busy kwenye mitandao ujue ndoa hana! Wanaume wanapoongea kaa kimya!! halafu unajiita muislam, mwanamke gani wa kiislam anaongea mbele ya wanaume! hebu kavae mkate wako huko!! unatujuzia uchafu tu humu
 
Back
Top Bottom