Here we Go-Mnyika na Nape live ITV

Here we Go-Mnyika na Nape live ITV

Uongo upi? kwani tume haikupendekeza mabadiliko ya katiba?

The Nyalali Commission of February 1991 was a Presidential Commission set up under the leadership of then-Chief Justice Francis Nyalali of Tanzania to collect the views of citizens and make appropriate recommendations on whether the country should adopt a multiparty or single party system. It sat during the term of President Ali Hasan Mwinyi. Based on the reports given by the Commission, the Constitution of Tanzania was gradually modified in the following years to accommodate for a multi-party system as a result of Nyalali commision recommendations.

******Freelander*****

Huyo mwanamke #FaizaFox hajui anachobisha humu ni nini anaandika tu kutaka kujionyesha na yeye yupo kati ya watu kumbe ni #mbuzi tu
 
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wengi wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.

hujaelewa wewe subiri uyolewe
 
Yaah...kweli mkuu...amesema ukweli na kukubali kuwa ndio CCM wamefeli sasa....Inazidi kuwaneemesha wachache....wengi ambao ni watanzania maskini wamebaki kuumia zaidi...Kwa maana hiyo kama Nape anakubali wameshindwa na wanazidi kuwakandamiza wengi ambao ni maskini...Then hakuna Justification yoyote ya kuja kutuomba watanzania tuwape nafasi ya wao CCM kutuongoza tena

Mie nikiona mavazi yenye rangi za visamvu najua kuna wizi ndio maana huwa sishabikii leo nape naye ameliona wacha afunguke mwisho wao umewadia
 
Daaa, aisee, nimekosa kweli uhondo, nimetoka kazini mapema kweli, huyoo hadi sebuleni, nimekaribishwa maji ya kuoga nikakataa, saa 12:56 umeme huo ukaondoka, hivi sio fitina kweli hizi? FaizaFox, waambie hao magamba wenzio watuonee huruma basi!
 
nadhan ccm ndo atakuwa amekufa

Pole sana. Kuna mzee mmoja pale chuo kikuu alitangaza hafi mpaka aione CCM imekufa tukasema humuhumu JF usishindane na Mungu, haikupita wiki mbili tukatangaziwa kafa, humu humu JF.

Na wewe kijana, chunga kauli zako kuhusu kifo, hakuna ajuwae siku yake.
 
mijitu mingine ni ya ajabu kweli!. watu tumefuatilia mjadala mwanzo mwisho halafu anakuja mtu na kuanza blah blah hapa mara Mnyika hivi na vile kumsifia!. Waliofuatilia wote kwa umakini wataungana na mimi kwamba Mnyika alielemewa na hoja za maana na badala yake muda mwingi alianza kuongea off points! ukweli ndo huo!
 
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wengi wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.
Hiyo asilimia 20 ni kidogo? Na nd'o maana Nyerere akaasa kwasababu wapo wanaotaka vyama vingi basi mfumo huo uridhiwe na nd'o demokrasia,idadi ya watu wale haikuwa ndogo.Na hata hao 80% waliokataa mimi nikiwa mmoja wao,tulifanya hivyo kwa sababu ya nia ovu ya watawala wa kipindi hicho waliokuwa wanatuchagiza kuwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi vya siasa ni kuleta vita vya wenyewe na umwagaji damu mkubwa utatokea kitu ambacho kwa ambao hatukuwa na exposure wakati huo tuliamini ni ukweli kabisa,but thanks be to the Almighty God kwa ajili ya 20% ile manake ndo ilyotumika kuungiza mfumo huu tulionao sasa.
 
Mnyika, anaulizwa kuhusu katiba anaongelea kuhusu Nyalali, nakwambia huyu kijana kidogo ana matatizo ya Kichwa.

Sasa anaongelea uchumi na ushindani na vyama vya ushirika. Nakwambia hata sielewi anaongelea nini?
Sasa kama huelewi kwanini hutendi haki unaendelea kutujazia mtindio wako wa ubongo hapa?
 
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wengi wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.

Hukumwelewa hata kidoho. Huu ndiyo uongo, uzushi na uzandiki.
 
Back
Top Bottom