Hukumbuki kuwa ni wiki ya kumbukumbu ya kifo cha Nyerere-Baba wa taifa???Nani kafa mbona wote wamevaa nguo za msiba?
Hukumbuki kuwa ni wiki ya kumbukumbu ya kifo cha Nyerere-Baba wa taifa???Nani kafa mbona wote wamevaa nguo za msiba?
Hapa TZ kuna watu wanasema uongo kwa nia ya kudanganya wengine wasio informed! Kauli mbiu zote hizo ni moja tu ya uongo huo! Lakini cha ajabu kuna watu wanapenda sana kuamini uongo hata kama wanaona kuwa wanadanganywa! Wakati wa uchaguzi ukifika wakipewa kanga au t-sheti na kofia wanasahau kuwa kwa miaka yote wamekuwa wakidanganywa. Kibaya zaidi ni kuwa kuna watu wanapenda kujidanganya kwa kudhani kuwa siku zote hawatakuja kubainika kuwa ni waongo! Wanadhani kuwa watu ni wajinga sikuzote na hawatakuja kuerevuka hata siku moja! Nawapa pole kwani wanadanganya, na wamedanganyika na kisha wanajidanganya!!!!Nchi imeshakuwa addicted na uongo. Tanzania kila kiongozi ni mwongo. Maisha ya kila siku yanaendeshwa kwa kudanganyadanganya tu imefikia pahala ukweli unageuka uongo and vice versa. Siku hizi utaonekana mwongo ukisema kulikuwa na ahadi kama vile maisha bora kwa kila mbongo, reli ya kasi Dar to Mwanza and Kigoma, ajira zaidi ya milioni moja (eti watasema imetimizwa kwa kuongezeka bar kumeleta ajira za mabaa maid na wachoma chips)
Ni uongo pia ukisema kuna series ya kauli nbiu kama nguvu mpya, ari mpya na okasi mpya wakati majirani zetu wanatupima na kuona tupo nyoronyoro hadi wanaamua kututenga, utakuwa mwongo pia ukisema kina kauli kama kilimo kwanza, tena ikaja matokeo makubwa sasa.
Na hizi nazo? Watanzania wanaweza kuwekeza kwenye juice na soda, asiyeweza kulipa feri apige mbizi, wapinzani wanafuata juice ikulu, nk..
Hukumbuki kuwa ni wiki ya kumbukumbu ya kifo cha Nyerere-Baba wa taifa???
Mnyika, anaulizwa kuhusu katiba anaongelea kuhusu Nyalali, nakwambia huyu kijana kidogo ana matatizo ya Kichwa.
Sasa anaongelea uchumi na ushindani na vyama vya ushirika. Nakwambia hata sielewi anaongelea nini?
Haeleweki mara hii mara kile hata hajijui anataka kusema nini, amezowea kudanganya na Nape alikuwa anamcheki tu jamaa anajigonga mara hiki mara kile. Hayuko sawa yule, nna uhakika.
Hivi mnyika atakuwa muongo mpaka lini.