Here we Go-Mnyika na Nape live ITV

Here we Go-Mnyika na Nape live ITV

Faizal Foxy unamatatizo.Uwezo wako wa kuchambua hoja upo chini sana.La sivyo unaongea kishabiki zaidi.
 
Hajielewi kivipi hapa?. Ulitaka adanganye ndiyo aonekane anajielewa!.

Alichokisema ndiyo ukweli wenyewe pamoja na kwamba huu ukweli ni mchungu kwa chama chake.

anachokisema Nape ndiyo siasa safi yenyewe ambayo Mh. Mnyika amedokeza.

Hatutaki kuzisikia spinning zake anazofanya majukwaani.

Yaah...kweli mkuu...amesema ukweli na kukubali kuwa ndio CCM wamefeli sasa....Inazidi kuwaneemesha wachache....wengi ambao ni watanzania maskini wamebaki kuumia zaidi...Kwa maana hiyo kama Nape anakubali wameshindwa na wanazidi kuwakandamiza wengi ambao ni maskini...Then hakuna Justification yoyote ya kuja kutuomba watanzania tuwape nafasi ya wao CCM kutuongoza tena
 
Aslimia ishirini ni watu na asilimia themanini ni watu sasa wapi uongo,ungetumia neno wengi ungeeleweka zaidi

Uongo wa Mnyika ni kuwa amesema asilimia kubwa ndio ilitaka vyama vingi. Upo hapo ulipo?
 
Sasa huo kama si uongo ni nini?

Uongo upi? kwani tume haikupendekeza mabadiliko ya katiba?

The Nyalali Commission of February 1991 was a Presidential Commission set up under the leadership of then-Chief Justice Francis Nyalali of Tanzania to collect the views of citizens and make appropriate recommendations on whether the country should adopt a multiparty or single party system. It sat during the term of President Ali Hasan Mwinyi. Based on the reports given by the Commission, the Constitution of Tanzania was gradually modified in the following years to accommodate for a multi-party system as a result of Nyalali commision recommendations.
 
Nikweli unachokisema mkuu hapa hata Mnyika akikosea watu watameza hivyo hivyo hakosolewi
huyo yeye ni malaika!
Mimi nazipenda sana siasa za Mh. Mnyika, lakini ni ujinga na kutomtendea haki mwana siasa tunapoacha kwa makusudi kumkosoa pale tunapoamini amekosea. Binadamu tunajifunza kutokana na makosa.

Ninatumaini watakuwa wamejifunza kutoka kwa Josephine Mushumbusi kuwa kumdekeza mwanasiasa ni kumjengea mazingira ya kutoishi katika hali halisi na Ukweli wake.
 
Uongo upi? kwani tume haikupendekeza mabadiliko ya katiba?

The Nyalali Commission of February 1991 was a Presidential Commission set up under the leadership of then-Chief Justice Francis Nyalali of Tanzania to collect the views of citizens and make appropriate recommendations on whether the country should adopt a multiparty or single party system. It sat during the term of President Ali Hasan Mwinyi. Based on the reports given by the Commission, the Constitution of Tanzania was gradually modified in the following years to accommodate for a multi-party system as a result of Nyalali commision recommendations.

******Freelander*****

Huyo mwanamke #FaizaFox hajui anachobisha humu ni nini anaandika tu kutaka kujionyesha na yeye yupo kati ya watu kumbe ni #mbuzi tu
 
REPORT ON THE DESIGNATED LEGISLATIONS
IN THE NYALALI COMMISSION REPORT
http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...G0adGQzfdRgzwjU6ORxDYgQ&bvm=bv.53760139,d.d2k

On February, 27,h 1991 the then President of the United Republic of Tanzania, His Excellency
AL HAJ ALI HASSAN MWINY1 appointed a Presidential Commission on Mono Party or Multi
Party System. The Commission, composed of eminent and distinguished personalities in the
United Republic of Tanzania, was headed by His Lordship Francis Lucas Nyalali the Chief
Justice of the United Republic of Tanzania. It submitted its Report on 17lh February, 1992.
After recommending changes in both Constitutions, the Commission set upon itself to
"recommend changes which are required in the laws of the two Governments" because of the
fact that "those laws either remove from the people' their freedom and basis rights or at times
impinge on the freedom ofthe people's rights". A set of forty (40) laws were further identified to
be of "oppressive nature" and were considered unconstitutional and in some cases outdated.
The Commission recommended that either the Attorney General's Chambers or the law Reform
Commission of Tanzania should examine those legislations with a view to recommending repeal
or amendment as appropriate.

It is from the above premise that the Law Reform Commission ofTanzania undertook the STUDY,
the subject of this Report sometime in 1993. In November 1993 the Commission submitted its
initial recommendations to the Government on the designated legislations.

The Commission has now accomplished the task assigned to it. The Research on he project has
been arduous, time consuming due its importance, complexity and controversy. The Commission
made extensive Consultations by way of a Workshop in Dar es Salaam and public meetings
throughout the Mainland Tanzania.

In accordance with section 14(1) of the Law Reform Commission of Tanzania Act, 1980, we
have the honour to submit the final Report on the Designated Legislations in the Nyalali
 
Uongo upi? kwani tume haikupendekeza mabadiliko ya katiba?

The Nyalali Commission of February 1991 was a Presidential Commission set up under the leadership of then-Chief Justice Francis Nyalali of Tanzania to collect the views of citizens and make appropriate recommendations on whether the country should adopt a multiparty or single party system. It sat during the term of President Ali Hasan Mwinyi. Based on the reports given by the Commission, the Constitution of Tanzania was gradually modified in the following years to accommodate for a multi-party system as a result of Nyalali commision recommendations.

******Freelander*****

Huyo mwanamke #FaizaFox hajui anachobisha humu ni nini anaandika tu kutaka kujionyesha na yeye yupo kati ya watu kumbe ni #mbuzi tu
 
Uongo upi? kwani tume haikupendekeza mabadiliko ya katiba?

The Nyalali Commission of February 1991 was a Presidential Commission set up under the leadership of then-Chief Justice Francis Nyalali of Tanzania to collect the views of citizens and make appropriate recommendations on whether the country should adopt a multiparty or single party system. It sat during the term of President Ali Hasan Mwinyi. Based on the reports given by the Commission, the Constitution of Tanzania was gradually modified in the following years to accommodate for a multi-party system as a result of Nyalali commision recommendations.

******Freelander*****

Huyo mwanamke #FaizaFox hajui anachobisha humu ni nini anaandika tu kutaka kujionyesha na yeye yupo kati ya watu kumbe ni #mbuzi tu
 
Uongo upi? kwani tume haikupendekeza mabadiliko ya katiba?

The Nyalali Commission of February 1991 was a Presidential Commission set up under the leadership of then-Chief Justice Francis Nyalali of Tanzania to collect the views of citizens and make appropriate recommendations on whether the country should adopt a multiparty or single party system. It sat during the term of President Ali Hasan Mwinyi. Based on the reports given by the Commission, the Constitution of Tanzania was gradually modified in the following years to accommodate for a multi-party system as a result of Nyalali commision recommendations.

******Freelander*****

Huyo mwanamke #FaizaFox hajui anachobisha humu ni nini anaandika tu kutaka kujionyesha na yeye yupo kati ya watu kumbe ni #mbuzi tu
 
Hivi Chadema TV inafungulia lini?
Its unfeasible plan.

Huoni kama CHADEMA ikipewa nchi 2015+, hiyo TV itakuja kugongana na TBC kwenye coverage kwa sababu zote zitakuwa na maudhui yanayofanana ( CHADEMA propaganda) Kwa maana hiyo, moja itatakiwa ife na kama tunavyofahamu TBC hawezi kufa kutokana na sheria za utangazaji.
 
Back
Top Bottom