Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,312
Acha kujitukana wewe yani wewe unizoee mimi unawaza nini kwani,hauko sawa eti umenizoea mi najua kanizoea mchumba wangu tu.
mchumbako shonza?
Acha kujitukana wewe yani wewe unizoee mimi unawaza nini kwani,hauko sawa eti umenizoea mi najua kanizoea mchumba wangu tu.
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.
Nepi sasa.......ANASEMA katiba iliyopo ni nzuri...inataka mabadiliko machache...imefanyiwa mabadiliko na nchi nyingi zinakuja kuiga...anasema tusiipuuze kwa sababu imetusaidia kufika hapa...tusiifanye katiba ya sasa kama takataka
Of course, si wao ndio walitaka katiba mpya sasa inawashinda?
Tatizo ni muda,mtangazaji nae apange maswali vizuri.itv ongezeni muda wa kipindi cha uzalendo nusu saa kuongea watu wawili tena hoja nzito za siasa haitoshi
Mtoto wa ndoa anajulikana tu hata kwa kumuangalia!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wako live sasahivi kwenye kipindi cha Uzalendo
Huyo jamaa huwa muongo sana.Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.
Hajielewi kivipi hapa?. Ulitaka adanganye ndiyo aonekane anajielewa!.Anasema Takwimu zinaonesha uchumi unakuwa lakini hilo haliko translated katika hali ya maisha ya watanzania..Nape hajielewi..hajui kama wao ndio watawala
Nikweli unachokisema mkuu hapa hata Mnyika akikosea watu watameza hivyo hivyo hakosolewiHajielewi kivipi hapa?. Ulitaka adanganye ndiyo aonekane anajielewa!.
Alichokisema ndiyo ukweli wenyewe pamoja na kwamba huu ukweli ni mchungu kwa chama chake.
anachokisema Nape ndiyo siasa safi yenyewe ambayo Mh. Mnyika amedokeza.
Hatutaki kuzisikia spinning zake anazofanya majukwaani.
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.
Hivi Chadema TV inafungulia lini?Mkuu mikweli kabisa, nusu saa haitoshi
Kwani hiyo aslimia ishirini walikuwa mawe
Huyo jamaa huwa muongo sana.