Here we Go-Mnyika na Nape live ITV

Here we Go-Mnyika na Nape live ITV

Mtoto wa ndoa anajulikana tu hata kwa kumuangalia!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nape amekanusha kuwa Mansour hakufukuzwa uanachama CCM kwa ajili ya msimamo wake juu ya serikali tatu kuwepo kwenye katiba mpya ila kulikuwa na mchakato wa kumfukuza muda mrefu kabla hata ya mchakato wa katiba mpya.

Source; ITV kipindi cha Uzalendo.
 
Tatizo ni muda,mtangazaji nae apange maswali vizuri.itv ongezeni muda wa kipindi cha uzalendo nusu saa kuongea watu wawili tena hoja nzito za siasa haitoshi
 
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.

We ni mwehu?nani asiyejua kuwa ndivyo ilivyo?katka matamshi kuna kuchanganya lakini sio neno la ajabu kama unavyotaka kuaminisha wehu wenzako.
 
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.

Kwani hiyo 20% haikuwa ni watu?
 
Nape amekanusha kuwa Mansour hakufukuzwa uanachama CCM kwa ajili ya msimamo wake juu ya serikali tatu kuwepo kwenye katiba mpya ila kulikuwa na mchakato wa kumfukuza muda mrefu kabla hata ya mchakato wa katiba mpya.

Source; ITV kipindi cha Uzalendo.
yeye aliyeanzisha ccj mbona hajafukuzwa mchumia tumbo siku hizi suruali za zamani hazimtoshi ; propaganda
 
Back
Top Bottom