Here we Go-Mnyika na Nape live ITV

Here we Go-Mnyika na Nape live ITV

Eti dunia inawasifia kwa kujenga vituo vya afya ambavyo wanawake wanazalishwa kwa tochi hahaahaa,hospital hazina hata pamba !!
 
Anasema Takwimu zinaonesha uchumi unakuwa lakini hilo haliko translated katika hali ya maisha ya watanzania..Nape hajielewi..hajui kama wao ndio watawala
 
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.

Uongo wako. wote tunawaona. alichosema ni kuwa mapendekezo ya tume ya Nyalali ili yatekelezeke mabadiliko ya kimfumo yalihitajika na mfumo wa demokrasia ya vyama vingi yalikuwa yaukwepeki!
 
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.

Kama anadanganya mbona Nape anakubali kua katiba inamatatizo Na shida ya Maji nchini?
Wewe ndio muongo!
Nape anatomaelezo mazuri ya kukubali!
 
Mtangazaji anawambia CCM ni chama kimejaa makauli mbiu kibao...utekelezaji Zero
 
Mnyika anadanganya eti tume ya Nyalali ilisema watu wanataka vyama vingi, wakati ukweli ni kuwa tume ya Nyalali ilisema 20% tu ndio wanataka vyama vingi na 80% walikataa vyama vingi.

Hadanganyi 80%ilikuwa niya watu ambao elimu yao ni std 7 hiyo 20% ilikuwa ya wasomi.80% walikuwa hawajui nini maana ya vyama vingi.
 
Nape anasema kauli mbiu sio tatizo ila kuna udhaifu kwenye eneo la kusukuma kauli mbiu..Nape hajitambui....
 
Nape anaendelea kusema watanzania watahukumu 2015.......Nimependa jinsi Mtangazaji anavoendesha kipindi amemuuliza Nape CCM inashutumiwa kwa slogan kama kilimo kwanza, Maisha Bora na leo Big Result ......Mtangazaji anauliza hiyo big result ipo wapi? Nape anaelezea alikuwa Mkuu wa wilaya kusisitiza watu kupanda kwa mistari...............................
 
Kwa mfumo Huu wa Nape kukubali mapumgufu au udhaifu atakua anaeleza vizuri lakini Kama angekulupuka tu Kama Job Ndugai angechemsha!
 
Nimependa mtangazaji anavyomudu kuongoza mjadala, anauliza maswali bila kujali huyu ni nan? Saf sana kuliko kile kipindi cha dak 45 kinachoibeba ccm
 
Nape anasema CCM hailazimishi maoni yake.......Anasema katika maoni waliyotoa ni robo tu iko included.Mengine yote yameachwa...Rasimu ilipotoka wao CCM pia wana haki ya kuikosoa na kutoa mawazo yao
 
Duh!!hapo kabugi kishenzi sikuamini kama ni gamba linajibu..

Hajabugi anasema ukweli na ndio Maana kasema kua pengo la walionacho na wasionacho ni kubwa!
Kwahiyo inchi inaendelea kiuchumi lakini sio kwa Watz Alafu mbona huyu Mtangazaji kampa nafasi kubwa Nape kujieleza?
 
Hiki kipindi bora kifutwe tu ITV kama hamtaweza kuongeza muda bora mkifute tu.
Vitu vya msingi namna hii huwezi vipa muda mfupi namna hii
 
Back
Top Bottom