jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
- Thread starter
- #141
Kweli kila MTU anatamani asichokua nacho
Hahahaha watu kwa kujifurahishaMarekani alitia pua VIETNAM akaambulia kichapo atia pua tena kwa wavaa ndala AFGHANISTAN WATALEBAN wakamtoa jasho mpaka basi akaenda korea na kwenyewe akakutana na kizingiti yaani kila anakotia pua lazima ashindwe anabaki kuuwa watu tu wasiokuwa na silaha yaani huyu marekani hata TZ tukiomba nae mechi ya kirafiki ateremshe majeshi yake ardhini tunampiga kama kuku wa mdondo
Unafahamu maana ya military base!? Tz hakuna wanajeshi wa kimarekani kunawajerumani na kuna base ya FBI mbeya wakikachero wajerumani wanaoingia na kutoka mbeya kila siku....usiongee usichokijuaipo east africa we google au mtafte mwanajeshi umuulize wanajeshi wa kimarekani wanafanya nn Tz
SouldierNamkubali sana huyo Mtu....ni jitu la kujiamini sana Mkuu.
Hamuwajui warusi vizuri nyieRUSSIA wenyewe wapo centered but US all over the world
Waulizeni wanajeshi wenu ni jeshi gani tishio kikachelo na kivitaRUSSIA wenyewe wapo centered but US all over the world
Hizo ni chuki zidi ya Usa, au zaidi unajifurahisha tuMleta uzi samahani sana,huo ni udhalilishaji sasa...iweje namba 1 umweke dada ,alaf dume unaliweka namba 2? Unavyofanya sivyo.....nguvu ya Russia ni sawasawa na nchi zote za ulaya na marekani kwa ujumla...
Shujaa pekee ndio anaweza tamka hivyo''To forgive a terrorist its up to God, but to send them to him its up to me''...hiyo kauli baada ya kuisema ilijadiliwa sana na western media,...kama siyo yeye pengine Assad angeshakuwa mfu.
Sio nyuklia.. Uchumi wa dunia utaporomoka, vita vitazuka kila kona ya duniaNilikuwa namjibu huyo aliesema sisi tutaumia vipi hajui nguvu ya nyukilia hadi huku kwetu itafika.
Yeah na Putin ndiye...huyu dogo wa N. Korea anakuja kuja ila ngoja tuone....hii dunia sii fair ikawa na bullers kama westerners.Shujaa pekee ndio anaweza tamka hivyo
Pole usikonde utajua tuuKigamboni
Unamapenzi hutaki kijuaUNA
UHAKIKA NA USEMACHO?
Acha ujingaSiku zote nguvu ya kijeshi inaendana na fweedhaaa wadau ,nafikiri mpaka hapo jibu limepatikana!!
Syria walipelekwa umesahau komandoo wa kirusi aliecomand airstrike??Mkuu hao jamaa ni balaa!!! wanangojea amri tu kutoka kwa putin, then wanasafisha kila kitu kilicho mbele yao!! nilikua naangalia mafunzo yao daaah hawa jamaa ni hatari, nadhani hata kule syria walipelekwa baadhi!!
Russia inachukiwa kama ilivyo inachukiwa assiathey are trained to ignore pain. Hata ukimtoa jicho atakufuata tu utadhani hakuna kilichotokea. wanafanya mazoezi hadi kwenye dimbwi la damu. hao sio kabisa sema media zote zimebase west hawana promo
Wewe hujui kitu sema uelimishweIla wameachwa mbaaaali sana.
Sasa wewe ndio unaelewa nini maana ya mrusi ahsanteTukizungumzia vita, Japo NATO na US wanapiga zoezi huko karibu na RUSSIA Daily, siku wakisema wapigane madhara yatachukua miaka zaidi ya miambili dunia irudi kwenye mstari. Hilo hata US wanajua ndio maana vita huwa vinaishia kuwa baridi tu
Hujui kama ungekua poti ningekupa mengi lakini nikuache tuKinachowapa kick zaid us ni kwamba wao ni wazoefu wa, vita aisee.. Nilisoma blog flan ya defense issues wakasema inawezekana pak fa ya russia ikaizid f22 lakin je vp kuhusu experienc ya pilots… shikamoo marekan
Wameachwa mbali?Ila wameachwa mbaaaali sana.