LEXAPRO3000
Member
- Jul 20, 2013
- 61
- 99
US mara nyingi anaonekana mbabe kwa sababu vita vingi huwa anavamia...na siku zote ukiwahi kuvamia hasimu wako utaonekana umeshinda kwa sababu tofauti na wanajeshi wako na silaha za kivita huna kingine cha kupoteza lakini mpinzani wako atakuwa na vingi vya kupoteza kama raia, miundombinu nk...!! lakini US ana operation nyingi ambazo huwa anafeli anapokutana na wababe wenzake ref: black hawk-Somalia or Benghazi...lakini ikitokea siku taifa hasimu likafanikiwa kuvamia US maafa atakayopata hataweza kusahau option atakayobaki nayo ni kutumia nuclear bombs kwa nchi hiyo ndo maana kila leo analialia nuclear bombs awe nazo mwenyewe tu maana ndo mwokozi wake