jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
- Thread starter
- #81
Kwani Crimea iko US?
Kwani Crimea iko US?
Hizi habari za "kuunganishwa" ndio tunazokataa sisi wananchi. Taratibu za kujiunga na majeshi yetu zinajulikana ama? Cheki huu uzi toka hapahapa JF: https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/526874/Niunganishie Mimi mkuu!!! Akili ninazo na nguvu ninazo.
Hahaha...that sounds cool sir!!! Lakini ningepata Wa kuniunhanisha pia siyo mbaya as long as it isn't illegal. Walakini nimekuelewa. Asante.Hizi habari za "kuunganishwa" ndio tunazokataa sisi wananchi. Taratibu za kujiunga na majeshi yetu zinajulikana ama? Cheki huu uzi toka hapahapa JF: https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/526874/
Hata hapo ulipo mbona wewe in mwanajeshi tosha? Hapo wewe tayari ni mwanajeshi wa elimuTangu zamani ilikuwa ni ndoto yangu kuwa mjeiwii ama efu efu yuuu....napendaga ubabe sana...Ni family background ndo zilifanya nisitimize ndoto yangu na kuishia kuwa mwalim...so sad in deed!!!!
Sawa mkuu!! Niwie radhiHizi habari za "kuunganishwa" ndio tunazokataa sisi wananchi. Taratibu za kujiunga na majeshi yetu zinajulikana ama? Cheki huu uzi toka hapahapa JF: https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/526874/
Usishabikie hayo mataifa mawili kupigana maana tutaumia wengi kama nyasi. Mrusi ana silaha, kwa waliowahi kuishi huko kama mimi, wanafahamu hilo maana huwa wana program za TV wanazoonyesha vifaa vyao, ni shida sana.TUMEONA SILAHA NA UWEZO WA MAREKANI KUPITIA VITA MBALIMBALI SASA URUSI ANAGOMBANA NA KAKISIWA KALE KAKICREMIA
tutachoumia siye nn wakipgana wao wawiliUsishabikie hayo mataifa mawili kupigana maana tutaumia wengi kama nyasi. Mrusi ana silaha, kwa waliowahi kuishi huko kama mimi, wanafahamu hilo maana huwa wana program za TV wanazoonyesha vifaa vyao, ni shida sana.
Iko kwenye nchi ambayo NATO wanaitaka wajiunge nayo...which means no territory ya marekaniKwani Crimea iko US?
Sizan kama wamahitaji promo mkuu!! Wao ni bora
Hivi unajua nguvu ya nyukilia?tutachoumia siye nn wakipgana wao wawili
Swali zuri mno!Wa jeshi LA nchi gani??
Katika maisha yako tamani mapenzi ya Mungu yatimzwe na sio yako. Mshukuru Mungu ulipo.Tangu zamani ilikuwa ni ndoto yangu kuwa mjeiwii ama efu efu yuuu....napendaga ubabe sana...Ni family background ndo zilifanya nisitimize ndoto yangu na kuishia kuwa mwalim...so sad in deed!!!!
Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!Russia ni sayari nyingine aisee wao wanajipanga kummaliza kila mmoja kivyao yeye anawachukulia wote wa ulaya na America kama nchi moja
Yake atatimiza naniKatika maisha yako tamani mapenzi ya Mungu yatimzwe na sio yako. Mshukuru Mungu ulipo.
Yap....na hata russia ana nyuklia weapons kama ilivyo kwa marekani!!Hivi unajua nguvu ya nyukilia?
Russia ni sayari nyingine aisee wao wanajipanga kummaliza kila mmoja kivyao yeye anawachukulia wote wa ulaya na America kama nchi moja
Bagamoyo na KibahaTanzania iko wapi?