sunola
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 2,781
- 1,741
Hawatuwezi JW hao wachache kabisa kwetu tunapiga huku tumewashika mikono wasikimbie.

Hawatuwezi JW hao wachache kabisa kwetu tunapiga huku tumewashika mikono wasikimbie.

Kenya ya wastgate?Nadhani kwa east africa ipo kenya
Amakweli viroba sio Maji...!!!U.S hawezi pigwa na huyo boya. Ngoja Trump achukue ofisi.
Kachukua sasaU.S hawezi pigwa na huyo boya. Ngoja Trump achukue ofisi.
Huu n utabiri wako wa mwaka 2016Urusi kiboko..... Putin hatastafu urais forever mpaka afe. Imekaa series flani hivi.... Watakuwa wanabadirishana na Medvedev na wengine watatu wapo FSB
Aisee, hiyo ni roadmap/blue print aliyoiandaa Boris akiwa madarakani baada ya kuwapika vijana wake wasiochakachulika na US.Huu n utabiri wako wa mwaka 2016
Kweli kazitandika. Ila kwenye movieSi kweli mkuu kwa hizi data Marekani haina historia ya kushindwa hizo nchi unazozisema kazitandika kachukua anachotaka kaondoka!!!...
Tanzania kweli wana mkataba wa kupeleka maaskari Marekani, sidhani.jidanganye hivyo hivyo. maana unaongea kwa story za vijiweni. ningekupa jina la ma Major 10 ambao wameenda kusoma russia na pia usa wakwambie habari hizi. acha zile story za kahawa jioni tukiwa tumekaa kibarazani tunaongea kwa chuki dhidi ya watu flan. achana na hizo.
Hahahahaha dahSawa wewe tupatie ukweli na utunge movie kuikosoa ile
TUMEONA SILAHA NA UWEZO WA MAREKANI KUPITIA VITA MBALIMBALI SASA URUSI ANAGOMBANA NA KAKISIWA KALE KAKICREMIA







Kwa kuongezea tu ni kwamba yule Ukraine ambaye aliyechukuliwa sehemu yake na Warusi, sio wa kawaida kabisa pale ulaya.Africa anapiga wote pasipo ubishi
Unahisi crimea sio sehemu yataifa fulani![]()
Assad must go walisikika wakilia lia kina hillary clintonhau kama anamuweza mrusi basi ajaribu kumgusa Assad tuone kitakachotokea



Vp bado hajachukua tu ofisiU.S hawezi pigwa na huyo boya. Ngoja Trump achukue ofisi.



unataka kusema mm mchungajiItaly,Russia, UK ndio mataifa makubwa bibilia iliyoyataja kwenye ile sanamu ya Daniel
Urusi kiboko..... Putin hatastafu urais forever mpaka afe. Imekaa series flani hivi.... Watakuwa wanabadirishana na Medvedev na wengine watatu wapo FSB
ulimwengu kuna EMW ni nguvu ya kumaliza nguvu ya umeme.hizo nchi zote inazo so unaweza ona sijui mavifaru yanatembea lakini wanao uwezo wa kuifanya umeme wa kifaru ufe ndani ya dk kazaa na vikawa mavyuma vyuma tu.
Vita vya siku hizi ni ngumu kutabirika.
American Military Dominance In One Staggering Chart
- slashing of U.S. Army personnel to pre-World War II levels, American military might is beyond question.
This chart from April 2013, which is making the rounds again, shows that America's 2012 defense budget surpassed that of the next 10 countries combined.
Defense spending accounts for about 20 percent of all U.S. federal spending.Peter G. Peterson Foundation![]()
Another example of American military dominance is all of the world's aircraft carriers: The U.S. has 19 aircraft carriers (including 10 massive ones), compared to 12 operated by other countries.
![]()