UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Russia kWa intelligency hawamuwez millitary hawamuweziHahaha
Hamtuwezi nyie
Russia kWa intelligency hawamuwez millitary hawamuweziHahaha
Hamtuwezi nyie
HahahaRussia kWa intelligency hawamuwez millitary hawamuwezi
America wajipange haswaHahaha
Kila siku ana waibia info zao jamaa yuko vizuri
Tanzania iko wapi?military base ya marekani ipo dunia nzima utapgwa kila angle aiseee dont play with america
Russia wameichukia Crimea na kila siku wana piga zoezi hukoAmerica wajipange haswa
unajua Ana umri gani?Kama uko tayari nitafute nikuunganishie uende
ipo east africa we google au mtafte mwanajeshi umuulize wanajeshi wa kimarekani wanafanya nn TzTanzania iko wapi?
Hata mtoa mada ni Team PutinHahaha
Hamtuwezi nyie
Mimi nitakutafuta Kiongozi, maana nahisi bado ndoto yangu ya kuwa mjeshi inaishiNatamani ngekuwa mwanajeshi....
Kama uko tayari nitafute nikuunganishie uende
Namkubali sana huyo Mtu....ni jitu la kujiamini sana Mkuu.Team Putin hapa
Nakuja uniunganishe mieKama uko tayari nitafute nikuunganishie uende
Ao wachumba tu kwa Putin..military base ya marekani ipo dunia nzima utapgwa kila angle aiseee dont play with america
Umuunganishe jeshi la wapi?Kama uko tayari nitafute nikuunganishie uende
RUSSIA wenyewe wapo centered but US all over the worldmilitary base ya marekani ipo dunia nzima utapgwa kila angle aiseee dont play with america
Umri wake ushaenda kumbeunajua Ana umri gani?

Uyo saizi yake Libia tu na mataifa mengine yanayoongozwa ongozwa kishemeji.military base ya marekani ipo dunia nzima utapgwa kila angle aiseee dont play with america